Mungu aniepushe na dhambi hii ya kumbambikia mtu mtoto. Nahisi nafsi inaweza kunisuta mpaka siku naingia kaburini. Sijui wanawake wengine wanapataje ujasiri huo.
Nakubaliana nawe, lakini kuna dhambi zingine unaweza kuziepuka ukiamua kwa mfano hiyo ya kusingizia mtu mtoto au kutoa mimba. Ni dhambi zinazotoa nafasi ya kutafakari kabla ya kutenda.dhambi/uovu unaweza kukupofusha ukafanya mambo ambayo hukuyafikiria kabla.
Nikimkumbuka mfalme Daudi na mke wa askari wake sina hamu kabisa.
Mwanamke ni shetani namba mbili duniani,Mungu aniepushe na dhambi hii ya kumbambikia mtu mtoto. Nahisi nafsi inaweza kunisuta mpaka siku naingia kaburini. Sijui wanawake wengine wanapataje ujasiri huo.
Hii generalization sio nzuri! Ni baadhi tu ya wanawake,kama ilivyo kwa baadhi ya wanaumeMwanamke ni shetani namba mbili duniani,
Awezaye fanya lolote litakalokuwa na manufaa kwake,ata kutoa uhai wa mtu.
Mwanamke ni shetani namba mbili duniani,
Awezaye fanya lolote litakalokuwa na manufaa kwake,ata kutoa uhai wa mtu.
Nakubaliana nawe, lakini kuna dhambi zingine unaweza kuziepuka ukiamua kwa mfano hiyo ya kusingizia mtu mtoto au kutoa mimba. Ni dhambi zinazotoa nafasi ya kutafakari kabla ya kutenda.
Usipotunywa utatuoga ikiuma sana chomeka kijitiMwanamke ni shetani namba mbili duniani,
Awezaye fanya lolote litakalokuwa na manufaa kwake,ata kutoa uhai wa mtu.
Neno 'mwanamke' sio wingi kusema nimejumuisha wote.Hii generalization sio nzuri! Ni baadhi tu ya wanawake,kama ilivyo kwa baadhi ya wanaume
Mwambie Mungu akuepushe na dhambi ya kila namna na wewe!Mungu aniepushe na dhambi hii ya kumbambikia mtu mtoto. Nahisi nafsi inaweza kunisuta mpaka siku naingia kaburini. Sijui wanawake wengine wanapataje ujasiri huo.
Sawa kiongozi, nisamehe nimekunukuu vibaya!Neno 'mwanamke' sio wingi kusema nimejumuisha wote.
Unazid zihirisha ushwetani wenu,haya.Usipotunywa utatuoga ikiuma sana chomeka kijiti
Bado tu kijiti hakitoshi??Unazid zihirisha ushwetani wenu,haya.
Ndo tatizo la mwanamke,uwa anawaza mawazo ya kishetani,Bado tu kijiti hakitoshi??
Haya basi tufanye hivi ongezea cha pili kisipotosha chomoa weka kidole halafu nusa mxiiiiiieeeeeew
Hata wewe inawezekana una ujasiri ambao wanawake wenzako hawauwezi na vivyohivyo wanaomba Mungu awaepushie mbali maana nafsi zao zinaweza kuwasuta mpaka siku wanaingia kaburini.Mungu aniepushe na dhambi hii ya kumbambikia mtu mtoto. Nahisi nafsi inaweza kunisuta mpaka siku naingia kaburini. Sijui wanawake wengine wanapataje ujasiri huo.
Inasikitisha sana.Hata wewe inawezekana una ujasiri ambao wanawake wenzako hawauwezi na vivyohivyo wanaomba Mungu awaepushie mbali maana nafsi zao zinaweza kuwasuta mpaka siku wanaingia kaburini.
Mwanamke anamzaa mtoto kiumbe hai malaika wa Mungu asie na hatia anamnyonga mpaka kufa anamtia kwenye rambo na kwenda kumtupa asindwa kubambikiza mtoto!?