shida ya soka tanzania inaanzia kwa MalinziLeo nimeshindwa kuvumilia
waliotazama pambano la leo la Yanga na Coastal mtakuwa mashahidi
Goli la kwanza la Yanga offside ya wazi
halafu mchezaji wa Yanga mmoja akaenda 'kulipiza'
faulo mbaya sana ya makusudi kabisa akapewa kadi ya njano
badala ya nyekundu moja kwa moja
halafu Yanga goli la pili mchezaji wake aliushika kwa mkono
kwanza mpira......
Imesemwa mara nyingi Yanga inabebwa
lakini wahusika hawataki kusikia..kukweli hamuisaidii
mnazidi kuturudisha nyuma.....na ndo maana timu zetu zikienda nje
matokeo yanajulikana kabla.....
Kuna mechi Ya Ligi ya Yanga na Coastal pia ambapo Yanga alifungwa bao 2 bila
cha kushangaza refa akaongeza dakika kumi nzima
huku hakukuwa na tukio lolote la kulipia muda....
Hizo ni mechi mbili tu nimezitaja lakini wote tunajua kinachotokea...
hamuisaidii Yanga...mnaiumiza tu kiukweli....
shida ya soka tanzania inaanzia kwa Malinzi
He has no moral authority ya kuongoza soka
Nimewahi kusema hapa JF mapema sana kipindi tu Malinzi anaingia kuwa Yanga itabebwa sana maana haina mjadala kuelewa kuwa Malinzi ni mnazi wa Yanga hadi kwenye moja ya account zake za social network anaweka naipenda Yanga. Unafikiri refa akiambiwa na boss wake kuwa hakikisha Yanga inashinda atafanyeje? Ni lazima ishinde. Hiyo thread niliyosema kwamba nilichangia nilishambuliwa sana kwamba sielewi.Leo nimeshindwa kuvumilia
waliotazama pambano la leo la Yanga na Coastal mtakuwa mashahidi
Goli la kwanza la Yanga offside ya wazi
halafu mchezaji wa Yanga mmoja akaenda 'kulipiza'
faulo mbaya sana ya makusudi kabisa akapewa kadi ya njano
badala ya nyekundu moja kwa moja
halafu Yanga goli la pili mchezaji wake aliushika kwa mkono
kwanza mpira......
Imesemwa mara nyingi Yanga inabebwa
lakini wahusika hawataki kusikia..kukweli hamuisaidii
mnazidi kuturudisha nyuma.....na ndo maana timu zetu zikienda nje
matokeo yanajulikana kabla.....
Kuna mechi Ya Ligi ya Yanga na Coastal pia ambapo Yanga alifungwa bao 2 bila
cha kushangaza refa akaongeza dakika kumi nzima
huku hakukuwa na tukio lolote la kulipia muda....
Hizo ni mechi mbili tu nimezitaja lakini wote tunajua kinachotokea...
hamuisaidii Yanga...mnaiumiza tu kiukweli....
Mimi nalia na Malinzi tu maana hata matukio ya Kupanga matokeo yameonekana sana kwake.Ndo maana marefa ni wahapa hapa.
Safi sana kwa shabiki aliyemtwanga jiwe mwamuzi.
Hakuna namna sasa
tunabariki rushwa kwa excuse ya "yanga ni timu ya wananchi".... I will damned if Serikali hii mpya itaacha huu upumbavu wa soka" uendeleeYaani unaweza sema utazame mpira ukajikuta unakasirika kabisa
na ukajuta why umetazama
Mchezaji wa Yanga leo kachezewa faulo kainuka moja kwa moja kumpiga teke la kifua
mchezaji wa Coastal...halafu refa katoa kadi ya njano....yaani nimeshangaa sana
goli la kwanza kila mtu alijua ni offside ....
Malinzi ni kama serikali ya jk na tenga ni kama ya jpm.Malinzi ni jipu pale tff mala mia ta Tenga
Nashindwa kuizungumzia hii unayoita Offside goli lililofungwa na Ngoma kwa sababu na Azam tv wameshindwa kutuonyesha Ngoma alikuwa wapi wakati mpira unapigwa!! Kwasababu isije tukalaumu bure kwakuwa mfungaji alikuwa pekeake bila kujua kuwa mpira ulipopigwa yeye alikuwa Angle ya Offsife Au Lah!!!!!! Uonyeshaji wa Azam tv nao unaleta mkanganyiko.Yaani unaweza sema utazame mpira ukajikuta unakasirika kabisa
na ukajuta why umetazama
Mchezaji wa Yanga leo kachezewa faulo kainuka moja kwa moja kumpiga teke la kifua
mchezaji wa Coastal...halafu refa katoa kadi ya njano....yaani nimeshangaa sana
goli la kwanza kila mtu alijua ni offside ....
Nashindwa kuizungumzia hii unayoita Offside goli lililofungwa na Ngoma kwa sababu na Azam tv wameshindwa kutuonyesha Ngoma alikuwa wapi wakati mpira unapigwa!! Kwasababu isije tukalaumu bure kwakuwa mfungaji alikuwa pekeake bila kujua kuwa mpira ulipopigwa yeye alikuwa Angle ya Offsife Au Lah!!!!!! Uonyeshaji wa Azam tv nao unaleta mkanganyiko.
Lakini pia nashindwa kukubali kuwa goli alilofunga Tambwe amefunga kwa mkono kwa hakuna kitu ambacho kitanifanya nijiridhishe, azam tv wameshindwa kuonyesha vizur ulipogonga Post ulifikia sehemu ya mwili kwa Mfungaji wa goli Tambwe.
tatizo lako ni kwamba wewe ni wakitaifa tena wa mchangani. Tuache sie makombe yote ni yetu ila hamjachelewa enda kwa kombe la dr mwakaLeo nimeshindwa kuvumilia
waliotazama pambano la leo la Yanga na Coastal mtakuwa mashahidi
Goli la kwanza la Yanga offside ya wazi
halafu mchezaji wa Yanga mmoja akaenda 'kulipiza'
faulo mbaya sana ya makusudi kabisa akapewa kadi ya njano
badala ya nyekundu moja kwa moja
halafu Yanga goli la pili mchezaji wake aliushika kwa mkono
kwanza mpira......
Imesemwa mara nyingi Yanga inabebwa
lakini wahusika hawataki kusikia..kukweli hamuisaidii
mnazidi kuturudisha nyuma.....na ndo maana timu zetu zikienda nje
matokeo yanajulikana kabla.....
Kuna mechi Ya Ligi ya Yanga na Coastal pia ambapo Yanga alifungwa bao 2 bila
cha kushangaza refa akaongeza dakika kumi nzima
huku hakukuwa na tukio lolote la kulipia muda....
Hizo ni mechi mbili tu nimezitaja lakini wote tunajua kinachotokea...
hamuisaidii Yanga...mnaiumiza tu kiukweli....
Tatizo unaenda kutazama mpira ukiwa na hasira dhidi ya yanga kwa kuwa simba hafanyi vizuri.Yaani unaweza sema utazame mpira ukajikuta unakasirika kabisa