Mnaofanya kazi usiku tu 'Night shift' mnawezaje

Mnaofanya kazi usiku tu 'Night shift' mnawezaje

Kwa wale watumishi wa afya kama Kuna mwenye experience ya kufanya night shift Kila siku mliwezaje? Yan wewe shift Yako ni usiku tu
Kama unaingia night shifts inabidi upate muda wa kupumzika hasa mchana. Kuna watu wao huamua kufanya mambo yao mchana halafu waingie night shifts tu.
Night shifts zingine haziko busy sana kwa hiyo unaweza kutoka bila ya kuwa na uchovu mwingi sana.
 
Nzuri sana hizo, mwanzo utaona mgumu ila ukizizoea nzuri sana. Binafsi nilikuwa napenda night shift kuliko day
 
Saivi nipo lindo mimi ni night shift tuu mchana napo silali nashinda kitaa natembeza kahawa na kashata👈
Sasa wewe usiku tuu mchana unashinda kwenye kitanda hadi usiku harafu unakuja hapa kulia lia😞😞
 
Nenda mapokezi kapige story na warembo
Wewe utakuwa ajira mpya
 
Kwa wale watumishi wa afya kama kuna mwenye experience ya kufanya night shift Kila siku mliwezaje?

Yaani wewe shift yako ni usiku tu
Napiga shift ya usiku deile mwaka wa 5 sasa na naona easy tu, nazimika mchana, issue nikiwa off ndo utata nalala mchana na usiku mfululizo! Mwanzo nilianza kwa kunywa redbull hadi nikazoea baadaye biological clock ikakubali kwamba nimeufanya usiku kuwa mchana! Kwa ss easy tu
 
Back
Top Bottom