Mnamfahamu huyu mrembo!

Anaitwa apple d au we search insta OFFICIAL TUNDA nakapenda balaa
Unachompendea ni nn hasa maana nikiangalia nyuma naona vitako vimekakamaa, nyama zenyew hazishawishi halafu watu kama hao ukiingia nao ulingon kazi zero wamejaa nyodo tu na kuact kulia kizungu
 
aaahh ila kupata kiki kwny mitandao ni rahc sana kwa kweli.
 
Ila kamenifanya nimkumbuke VALENTINA wangu uwiii mama uko wapieeeeee...
 
Hapana mkuu wala sio msosi[emoji15] [emoji15]
 
mkuu upo sahihi, na mwanamke mzr kuliko wote ni mke wako, wengine wote hata kama watavua ch.pi, watakuwa nungayembe, ila wa thamani ni mkeo...
Jibu lako safi sana
 
Nadhani yuko South Africa!! But ni mtz! Ana hang sana na wanamuziki wa bongo wakiendaga huko...so lazima watakuwa wanajionjea kidogo kama Young D etc...ni hayo tu kwa leo
Hakuna mwanamke asiye fanya hiyo makitu hata kama aneolewa yaani mi nampenda hata iweje
 
Kuuuuumbe?Aiseeee
Hivi vitoto vina balaa sana.
Halafu wazazi wake wanachekelea tu!
Nifaa ushawahi muona mzaz wake ACHA MANENO YAKO HUYU MZEE AWEZ HIZO MAMBO [emoji116]
Licha ya hivo embu asume ni mwanao hata kama mnalumangia ugali na dagaa
 
Hahaha...huyu ndio mrembo? Kitu flat screen na amekomaa hivyo,

Naona umekuja kumuuzisha sura huku tumtambue. TZ bana.
 
Waaap!!! arafu humu siku hizi mnatafuta umaarufu kunuka tutolee mapicha picha ya vitoto vya la pili 'C'

Kidemu gani vitako kama gubiti, kakichwa kama tunguli...!!!
 
Wewe nae acha ushamba,hujui DM?
Maana unavyomsemea ni kama Beyonce au Rihanna vile.....
Wakati ukimcheki huko nina uhakika hata masaa hayapiti atakujibu.
Ukiniona nimefanya maamuzi hadi yakuja hapa jf jua maji yamenifika shingon
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…