Deo Corleone
JF-Expert Member
- Jun 29, 2011
- 17,023
- 13,370
Nipo sehemu najitundika madrip. kuna wamama na wababa wamekuja na vitoto vyao under5 vinazurulula humu bar,nijitnka toilet nakutana mavyo njian hadi usiku huu
tafuteni sehemu nzuri kwa watoto na sio bar.
Hata mm nipo bar fulan naona kuna vitoto vinachezacheza kuzunguka meza yangu. Ngoja vimwage mapochopocho niliyouaweka mezani kwangu. Nitajitoa ufahamu nivigonge chupa.
Inabidi wenye mabaa ndio wawajibishwe. Bongo hakuna age restriction aisee. Hata kwenye supu ya ngumi unakuta wamasai wametoka kanisani na tibinti miaka mitatu na vinajitahidi kunywa supu ina pilipili balaa! Ushamba hauna mwenyeji!
Hata mm nipo bar fulan naona kuna vitoto vinachezacheza kuzunguka meza yangu. Ngoja vimwage mapochopocho niliyouaweka mezani kwangu. Nitajitoa ufahamu nivigonge chupa.
bongo hata ustaraabu tu acha sheria
hujawahi kuona mtu anadokoa chipsi na mkono wake ? na ziko kwenye kabati
Nipo sehemu najitundika madrip. kuna wamama na wababa wamekuja na vitoto vyao under5 vinazurulula humu bar,nijitnka toilet nakutana mavyo njian hadi usiku huu
tafuteni sehemu nzuri kwa watoto na sio bar.
Hivi ni wapi bongo ukienda kununua pombe au sigara unaombwa kitambulisho?
Halafu kuna umri wa chini wa kuingia klabu (zile za usiku)? Mfano pale Maisha...huwa wanaomba kweli ID mlangoni?
Na hapo wala sijagusia mambo ya zoning - mabaa, magesti (madanguro), makanisa, makazi ya watu, shule,- kila kitu mumo kwa mumo.
Kuna watu wamejenga mabaa kwenye maeneo ambayo yalitengwa kuwa wazi na hakuna chochote kilichotokea.
Hii nchi ni ya ajabu sana!

mkuu maisha club na bilicanas siku hizi zinajaa vitoto[15-19] siku wakiuliza vitambulisho zitakufa coz hamna mtu mzima anaingia humo kama wapo ni wachache sana