Mlokole; konda weka nyimbo za Yesu
Konda; Yesu bado hajatoa albam.
Matozi; humu ndani joto
Konda; kapande friji
Abiria; kuna siti?
Konda; hawa walioko wamekalia madumu au?
Sistaduu: Konda ninashuka Maziwa (akimaanisha anashuka pale kituo kinaitwa Ubungo Maziwa)
Konda; Unashuka maziwa,kayanunulie sidiria!
Mama: sikai siti za mwisho
konda; hizo siti za mwisho ziko nje ya gari au..!
Vyote aisee...mana maneno nayapenda sana....juzi tulikuwa moro na wenzangu.sasa tukaulizia hotel tukamuuliza mhudumu kama kuna ulinzi mhudumu akatujibu kama mnataka ulinzi mkalale polisi...nilicheka sanaLet me guess sister kilichokuchekesha,,''Konda,Nashuka maziwa''
Hahahaahaa,ndo tumezoea hiyo mineno kwenye daladala!
Vyote aisee...mana maneno nayapenda sana....juzi tulikuwa moro na wenzangu.sasa tukaulizia hotel tukamuuliza mhudumu kama kuna ulinzi mhudumu akatujibu kama mnataka ulinzi mkalale polisi...nilicheka sana
Yaani kame fanana na id yako mkuu jioni yangu imekuwa njema
hahaha....mchaga nomaDuhh kama mnataka ulinzi si mkalale polisi!!Umenikumbusha moja eti mchaga alianguka bank akijifanya kazimia,watu si wakawa wanasema apewe maji,kusikia hivyo eti akasema,''Acheni ujinga nipeni hela,ningetaka maji si ningeangukia DAWASCO''!
i miss ma hubby
ngoja nifanye hivyo.We log off tu!!
i miss ma hubby
yes indeed we are
haita saidia
ntavumilia