hehehe halafu hamna anayemcheka mwenzakeWASIOPANDA DALADALA WANAKOSA UHONDO WA MATAMSHI HAYA KUTOKA KWA ABIRIA
1) Nitakupa.
2) Atakupa mbele.
3) Hujapewa mbele?
4) Utapewa nyuma.
5) Nitakupa nikikaa vizuri.
6) Ngoja isimame nikupe.
7) Subiri asimamishe nikupe.
8)Hivi nilivyokaa nitakupaje?
9) Utapewa tulia.
10) Nikupe mara ngapi Unapenda kupewa ee
11) Msimpe nimeshampa huku mbe
ukweli tunaukosa uhondo ...
dada we huwa ulali mbona
ooh jamani mpe pole sana anaendeleaje lakini
Kaah nimeumiss uhondo, sikunyingi kweli sijapata uhondo mwenzio
Muungalie vile! Jitu zima linalilia uhondo!
Uguza kwanza!
Akipona miuhondo hata sebuleni utapeanwa!
Alaaah !
Muungalie vile! Jitu zima linalilia uhondo!
Uguza kwanza!
Akipona miuhondo hata sebuleni utapeanwa!
Alaaah !
daladala zina uhondo ukitaka mbele unapewa,nyuma ndo usiseme ila ukikaa vibaya uwezi kutoa uhondo we ushawahi kukutana nao huo
Kwingineko burudani kunako bus zile za kutoka pembezoni mwa viunga vya jiji , abiria alikua kapakia gunia lake la mkaa juu ya keria , wkt akishuka ikawa :
"Konda mwambie dereva nna mkaa juu! Nataka kushuka"
Dereva wa kipemba : "Kamkae mamio!"