Sikatai, kashambulia wanaume wote. Lakini kumbuka wakati mwingine watu huendeshwa na hisia zaidi, hasa wanawake. Tunatakiwa kulijua hilo, kumrekebisha na kutambua kuwa haya mambo yanatendeka huko maofisini.Mkuu sio tatizo kuleta jambo ambalo limekutokea huko kwenye maisha ya kawaida,lakini unapolileta hapa jaribu kutokuliweka "kibinafsi' zaid,huyu dada amekuja hapa kama vile anamshitaki huyo bosi wake kwetu kitu ambacho sio sahihi
Lakini pia amekuja hapa kuwashambulia wanaume wote utadhani kila mtu anafanya ujinga huu
Matatizo ni hayo tu mkuu!
mtukanae tu hapo hapo
Ahhhhaaaaaaa Mama si atapoteza Customers na kibarua kitaota nyasi , looooh. Thanks!
Kwani yeye hajui kuwa kazini kuna challenge
mbona unapanic?? hii si thread tu nothing personal my dear au siruhusiwi kutoa ya moyoni??
Kwanza najiuliza hiyo kazi umepewaje wakati hata kuandika hujui
Naanza kuona huyo bosi wako ana haki ya kukutusi [japokuwa sio sahihi lakini kuna watu wanaelewa zaidi ukiwatusi] maana unaonekana hata hujui kazi zako wala majukumu yako ....!
sijakuambia unifundishe kazi infact am talking to MEN not u
Sikatai, kashambulia wanaume wote. Lakini kumbuka wakati mwingine watu huendeshwa na hisia zaidi, hasa wanawake. Tunatakiwa kulijua hilo, kumrekebisha na kutambua kuwa haya mambo yanatendeka huko maofisini.
Yupo sahihu ka kwa mtazamo wangu, watu wanakuja na stress ba kuwaymiza wengine kihisia huko makazini...sio fea kabisa.