KATIBU MUHTASI
Member
- Aug 26, 2014
- 56
- 17
I hope u guys are all good.
Jamani am fed up with these men wanaokuja ofisini na mahasira sijui wanatoka nayo wapi. Hivi mnajua ni kiasi gani mnatuumiza wenzenu na ukiangalia sisi ni kama mabinti zenu mnashindwa kutuheshimu mnakuja na miattitude unafoka as if am the one nazuia hiyo cheque kutoka ama whatever unafatilia hapa or any office utayoenda.
Mnatupa hard times mnatudharau mtu hataki kukuona inakua world war II kwangu kashfa zote unamalizia kwangu si muwafokee wanaume wenzenu ni wao wanaotuagiza tuwajibu hivyo, after all these years of technology bado kuna watu wanatuachia maagizo na card mnapewa hamtaki kuwapigia makusudi tu ili upate sababu ya kutufokea.
Mkitutongoza tukikataa ni kiama kabisa sitaki hata kuelezea hivi mkoje nyie?
Sijui hata mmelelewa vipi kila mtu ana stress zake ila kututolea watoto wa wenzenu its not cool at all:angry: