Erick venance
Senior Member
- Feb 14, 2017
- 129
- 62
Bunge la nchi yetu ni dhaifu mno tena zaidi ya alivosema mkaguzi.
Mbona hamjajadili hata kidogo mbunge mwenzenu alivyoshambuliwa mmekaa kimya utadhani jambo la kawaida.
Mbona pesa za serikali wakati flani hazipitii bungeni lini mliuliza hata maswali juu ya hilo kama huo sio udhaifu ni nini
Mbona hata nyie wabunge mmezuiwa msifanye kazi za kibunge nje ya nchi hata kama ni muhimu mpaka kwa ruhusa maalum kama huo sio udhaifu ni nini.
Hili bunge letu ni zaid ya vile alivyosema professor.
Sent using Jamii Forums mobile app