PROSPER 05
JF-Expert Member
- Oct 14, 2013
- 226
- 217
- Ubingwa wa Mapinduzi unaifanya Azam FC kufikishaTAJI LA PILI msimu huu na hii ni baada ya Agosti mwaka jana kutangulia kwa kutwaa Ngao ya Jamii kwa kuifunga Yanga kwa mikwaju ya penalti 4-1 kufuatia sare ya mabao 2-2 ndani ya dakika 90
- Hii ni Rekodi ya pili mfululizo kwa Azam FC KUTWAA TAJI BILA WAVU KUGUSWA, itakumbukwa walifanya tena hivyo mwaka juzi walipotwaa taji la kwanza la michuano ya Kombe la Kagame (CECAFA Kagame Cup), ambapo kwenye fainali waliichapa Gor Mahia mabao 2-0
- Msimu wa 2013/2014, Azam FC ilifanya maajabu mengine ya kutwaa taji la kwanza la Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara (VPL) BILA KUFUNGWA MCHEZO WOWOTE
- Picha Linaendelea.........