Udhu ndio nini au unazungumzia grentii?Vyombo vyao vina "UDHU"?
Unafanyika wapi huo mnada
Nitakuja Kumnunulia Gari Mke Wangu Miss Chagga.
Umetuchanganya na muda wa kuangalia nimeenda nakuta kumbe ilikuwa ni asubuhi na siyo mchana. Umechanganya saa za kiingereza na kiswahili
Wadau mnakaribishwa kwenye mnada wa vitu mbali mbali, kama fenicha, magari, vyombo vya ndani. Nk mnada utakua siku ya jumaosi tar 20 12 2014 kuanzia saa 2:30 mpaka saa 10:30 pia unaweza kagua pia kwa siku ya leo kuanzia saa 9-12 pmView attachment 212131View attachment 212132View attachment 212133View attachment 212134[
ATTACH]212135[/ATTACH]hizo ni bahadhi ya mali zitakazo pigwa bei siku hiyo
Pacha na wewe unatumia hii staili?
jinyonge ........
urutubishe udondo ,, rutuba imeshuka sana now daysPacha, Hiyo nitatumia kwa lengo la kutengeneza mshiko labda.
Ili iweje?
kaka ni eneo gani? maana mtoa mada hajakamilisha taarifa
Umetuchanganya na muda wa kuangalia nimeenda nakuta kumbe ilikuwa ni asubuhi na siyo mchana. Umechanganya saa za kiingereza na kiswahili