Mnada wa hadhara ubalozi wa Marekani

Mnada wa hadhara ubalozi wa Marekani

Mangimeli

JF-Expert Member
Joined
Sep 15, 2011
Posts
1,151
Reaction score
287
Wadau mnakaribishwa kwenye mnada wa vitu mbali mbali, kama fenicha, magari, vyombo vya ndani. Nk mnada utakua siku ya jumaosi tar 20 12 2014 kuanzia saa 2:30 mpaka saa 10:30 pia unaweza kagua pia kwa siku ya leo kuanzia saa 9-12 pm ImageUploadedByJamiiForums1418974976.860760.jpg ImageUploadedByJamiiForums1418974996.989757.jpg ImageUploadedByJamiiForums1418975017.648311.jpg ImageUploadedByJamiiForums1418975034.998498.jpg [
ATTACH]212135[/ATTACH]hizo ni bahadhi ya mali zitakazo pigwa bei siku hiyo
 

Attachments

  • ImageUploadedByJamiiForums1418975057.810850.jpg
    ImageUploadedByJamiiForums1418975057.810850.jpg
    93.7 KB · Views: 1,044
Je ni palepale ubalozini ama kwenye godown yao pale keko?


Sent from my iPad using JamiiForums
 
Hio Hiace naitamani sana sana, masharti yakoje?? Nisaidieni kesho niibuke hapo. Dah.
 
Mangimeli nisaidie hizo taarifa please. Hasa payment terms zikoje, ntashukuru sana
 
Last edited by a moderator:
Umetuchanganya na muda wa kuangalia nimeenda nakuta kumbe ilikuwa ni asubuhi na siyo mchana. Umechanganya saa za kiingereza na kiswahili
 
Are they packing to leave? Isijekuwa mambo ya Eskrow yamemwachefua so wameamua kufungasha virago!
 
Tatizo hawakawii kukuwekea microphone kwenye hivyo wanavyouza
 
Umetuchanganya na muda wa kuangalia nimeenda nakuta kumbe ilikuwa ni asubuhi na siyo mchana. Umechanganya saa za kiingereza na kiswahili

Mnada upo wapi changombe ama hapo ubalozini kwao mbona hamsemi.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom