bank wanauziana wao kwa wao nishashuhudia hilo azania, kuna dili kati ya wale madalali wa benk na watu wa mikopo, kuna kipindi nilikua nina mkopo azania, nikawa ofisini kwao depatment ya loan, wakaja madalali kuna nyumba ilikua inauzwa bei chee, watu wa bank kuna matajiri wao walikua wanawapigia simu hapo mimi nilikuwepo, yale matangazo yao sijui nyumba inauzwa na nini ni kutimiza tu vigezo na masharti, ukienda wewe utaambiwa ishapata mteja tayariBenki huwa wanauza nyumba mbovu?[HASHTAG]#francoo1[/HASHTAG]:
huwa hawauzi kwa mnada?
huwa wanauziana wao kwa wao?
jibu hayo matatu#
sasa kama wewe ulishashuhudia, kila mtu atashuhudia ili ajue hicho unachojua?bank wanauziana wao kwa wao nishashuhudia hilo azania, kuna dili kati ya wale madalali wa benk na watu wa mikopo, kuna kipindi nilikua nina mkopo azania, nikawa ofisini kwao depatment ya loan, wakaja madalali kuna nyumba ilikua inauzwa bei chee, watu wa bank kuna matajiri wao walikua wanawapigia simu hapo mimi nilikuwepo, yale matangazo yao sijui nyumba inauzwa na nini ni kutimiza tu vigezo na masharti, ukienda wewe utaambiwa ishapata mteja tayari
ndo ujue kwamba hakuna mteremko mkuu, usione vitu kama hivyo ukaenda straight utalizwasasa kama wewe ulishashuhudia, kila mtu atashuhudia ili ajue hicho unachojua?
Kwani, "term"kuelimishana ama kushituana, ndiyo kufanyaje? Labda tuanze na swali hilo kwanza kwako.pole sana,lakini ule mnada ni halali kisheria na wewe ndo uliyakanyaga..mjini hapa
inategemeana na accer ya viwango ganiNdio ukome kukimbilia vya bei chee... acer kwa 150k..
Ukiibiwa uje useme hatukusemaina maana ile minada yote huwa inavitu vya uongo au..
daaaaah assee nitaenda na mimi nijaribu vitu ni fresh nitawapa mrejesho
haaaa haaa basi siendi tena nimeshituka mchingo sio mzuri huu!Ukiibiwa uje useme hatukusema
UKiondoka hawa wanaouza simu kwa Sh 10000.wap wanafnya mnada mkuu? nahitaj kushirikiina maana ile minada yote huwa inavitu vya uongo au..
daaaaah assee nitaenda na mimi nijaribu vitu ni fresh nitawapa mrejesho
haya mambo mbona yapo kitambo sana si mapya pole kwa kuchelewa ndo umekaribishwa darHabarini za muda huu ndugu zangu wanajamvi wa JF.
Ninapenda kuwapongeza wote mliofanikiwa kupewa pumzi na utambuzi kifikra mpaka leo,Ashukuriwe MwenyeEnzi Mungu[emoji120]
Napenda kuwa tahadharisha kuwa sasa kuna utapeli kupitia minada ya vitu mbalimbali ambayo mara nyingi hufanyika maeneo ya masoko.
Wezi hao huuza vitu mbalimbali km Electronic devices n.k,huku wakitangaza vitu hivyo ni Mali za waliotaifishwa au kufirisiwa kutokana na kushindindwa kurejesha mikopo yao,Hii si kweli!!!!Mtaibiwa!
Watu hao huuza vitu vibovu na ambavyo vimechoka kabisa ambavyo huwa vimefungwa vizuri kama vile ni vibya!Mfano;Personal computer (PC) huuzwa bila Charger(adapter) zake ili isiwe rahisi wewe mnunuaji kutaka kujaribu na kugundua mapema.!Pia wanakupatia mpka receipt japo Ina jina la uongo na TIN za uongo za Auction Mart fulani ili kukuaminisha, "Msikubari"!!
Mimi binafsi nilitapeliwa laki moja na nusu(150K) km bei ya manunuzi ya PC aina ya ACER.
Cha kushangaza nilienda kutaarifu kituo cha polisi ili wakawakate na kuwachukulia hatua lakini wakaonekana kutokujari huku wakinikejeri na kunibeza kuwa napenda vya being Rahisi ndio maana nimetapeliwa,Iliniuma sana na kutamani kuwaTusi!!!
Nawaonya ndugu zangu msikubari kununua vitu ktk minada hiyo,Mtaibiwa!!!!!
Nawasilisha!!!!!!!!![emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji40]