Mnada: Njia mpya ya Utapeli, tujiepushe!

hyo 150,000 ungekomaa kupiga kazi ukajazia hata 350,000,ifike laki 5 ungepata mbona!..pole mkuu ndo kukua huko! karibu mujini
 
Mimi nilinunua Flush drive ya HP 64 GB kwa sh elfu 10 tu mpya, nikaijaribu pale pale ikafanya kazi, nilivyoenda kuijaribu kwenye pc yangu ya Toshiba haiingii kwenye port hadi uilazimishe, ndo mwanzo wa kuharibu port za my pc.
 
Walinitapeli nikawatafuta na kuwakuta sehemu nyingine tukagawana nusu hasara.
mie waliwahi mtapeli mdada wa kazi aliyetumwa sokoni, nikaenda kijiweni nikachukua mateja tukawakuta wakatembezewa kichapo hadi wakarudisha pesa na fidia juu tangu siku hiyo wakahama mtaani kwetu.
 
Unataka kusema,wale hawashtakiwi ukiwafkisha kwenye vyombo vya sheria.

Sheria ya mnada ni "As it is!"

Kwa hiyo kama umenunua kibovu kwa kuaminishwa kwamba ni kizima, hiyo haina kesi.
 
Mmmh... laki moja na nusu pc ya acer. Kwl rahisi ni gharama.
Kweli mkuu!hayo mambo yapo.Wengine huwauzia watu vitenge vilivyochanika au vipande vipande wakidangany ni vipyA
 
hyo 150,000 ungekomaa kupiga kazi ukajazia hata 350,000,ifike laki 5 ungepata mbona!..pole mkuu ndo kukua huko! karibu mujini
Aksante,!Ila kutapeliwa hata Wa mjini wanapeliwa tyu,pale tapeli akiuotea udhaifu wako
 
Mimi nilinunua Flush drive ya HP 64 GB kwa sh elfu 10 tu mpya, nikaijaribu pale pale ikafanya kazi, nilivyoenda kuijaribu kwenye pc yangu ya Toshiba haiingii kwenye port hadi uilazimishe, ndo mwanzo wa kuharibu port za my pc.
Pole sana mkuu!Kumbe watapeliwa tupo wengi
 
Polis kwanini wasikusaidie inamaana hapo kutakuwa kuna mkono wa mtu
 
kwa hiyo were unasapoti wizi huu uendelee?
 
Laki si pesa mkuu punguza maneno sikiliza Muziki!
 
mie waliwahi mtapeli mdada wa kazi aliyetumwa sokoni, nikaenda kijiweni nikachukua mateja tukawakuta wakatembezewa kichapo hadi wakarudisha pesa na fidia juu tangu siku hiyo wakahama mtaani kwetu.
Uko vizuri mkuu[emoji1] [emoji1]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…