Kama wewe uko dar
(especially maeneo ya karibu na ubungo) unatangaziwa mnada wa vitu
vifuatavyo ambavyo vyote kwa pamoja vimetumika kwa miezi sita tu.
1. Kitanda na Godoro lake (comfy) kwa tsh. 250,000/= tu
2. Sofa la kukalia watu wawili (kitambaa kigumu) kwa Tsh. 160,000/=
3. Subwoofer kwa tsh. 90,000/=
4. Meza ya mbao (kubwa kiasi) na viti vitatu vya plastic kwa bei ya
jumla Tsh. 70,000/=
5. TV hitachi inch 21 na stand yake kwa 150,000/=
6. Jiko la gesi mtungi mdogo (oryx) 15kg na vifaa vyake bila gesi tsh.
90,000/=
7. vyombo vya maji kama madiaba makubwa mawili (160ltr each) kwa bei ya
jumla Tsh. 60,000/=
8. Vyombo vya kupikia n.k (hapa utakuja tuelewane bei)
NB, vitu vyote hivi nilivinunua vipya kabisa mwaka huu mwezi wa pili na
bado viko kwenye hali nzuri na vyenye warrant bado haijaisha. naviuza
nihamie Arusha nimepata kazi mpya huko.
Nipm kwa mawasiliano kama utahitaji