Chagu wa Malunde
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 8,744
- 5,771
Personal ishu ya Mr Nchambi.
Ndio kwa asilimia 100Je Magufuli Kapambana Na Ufisadi?
Naona mzee wako umpendaye siku hizi nyota yake inazidi kwenda chini. Ameleta ukabila, ukanda, uonevu, udikteta, n.k. Soma ripoti za CAG utajua mambo yamekuwa mabaya zaidi kuliko hata siku zilizopita.Kabla ya JPM kuingia madarakani mlikuwa kila siku mnapiga kelele kuwa nchi imeoza, ufisadi umetapakaa kila kona na Ccm inaenda kufa. Ilikuwa kila kikao cha bunge lazima usikie kuna ufisadi wa kuutisha mara Epa ,Escrow n.k.
Rais aliyekuwepo najua kwa asilimia kubwa alikuwa hataki haya mambo ndio maana hata yeye alikuwa anaruhusu bunge liisurubishe serikali yake. Mfano ni kwenye kashifa ya Escrow tuliona namna bunge lilivyoisurubu serikali yake. Mpaka azimio la bunge likaundwa ili waliohusika wachukuliwe hatua.
Kuna jamaa zaidi ya miaka kumi na tano walikuwa wanatuibia rasilimali zetu. Amekuja JPM kasimama kidete ili na sisi tuanze kunufaika na mali ambayo Mungu ametupatia .
Sasa najiuliza je mlitaka watu wachache tu wawe wanajichotea mali za umma kama ilivyokuwa hapo zamani? Maana najua yule mzee wa Msoga upole ulizidi ndio maana watu wakawa wanaiibia nchi wanavyotaka. Kila sekta ilikuwa ni wizi tu. Iwe ni vocha za pembejeo,wafanyakazi hewa n.k
Je nyie Chadema ambao sasa hivi mnaponda JPM mlitaka ufisadi uendelee ili mpate sifa za kisiasa? Mbona mnakuwa wanafiki kama wanawake wa saluni?
.Kabla ya JPM kuingia madarakani mlikuwa kila siku mnapiga kelele kuwa nchi imeoza, ufisadi umetapakaa kila kona na Ccm inaenda kufa. Ilikuwa kila kikao cha bunge lazima usikie kuna ufisadi wa kuutisha mara Epa ,Escrow n.k.
Rais aliyekuwepo najua kwa asilimia kubwa alikuwa hataki haya mambo ndio maana hata yeye alikuwa anaruhusu bunge liisurubishe serikali yake. Mfano ni kwenye kashifa ya Escrow tuliona namna bunge lilivyoisurubu serikali yake. Mpaka azimio la bunge likaundwa ili waliohusika wachukuliwe hatua.
Kuna jamaa zaidi ya miaka kumi na tano walikuwa wanatuibia rasilimali zetu. Amekuja JPM kasimama kidete ili na sisi tuanze kunufaika na mali ambayo Mungu ametupatia .
Sasa najiuliza je mlitaka watu wachache tu wawe wanajichotea mali za umma kama ilivyokuwa hapo zamani? Maana najua yule mzee wa Msoga upole ulizidi ndio maana watu wakawa wanaiibia nchi wanavyotaka. Kila sekta ilikuwa ni wizi tu. Iwe ni vocha za pembejeo,wafanyakazi hewa n.k
Je nyie Chadema ambao sasa hivi mnaponda JPM mlitaka ufisadi uendelee ili mpate sifa za kisiasa? Mbona mnakuwa wanafiki kama wanawake wa saluni?
Jenga nccr wewe acha kuwa kasuku wa lumumbaKabla ya JPM kuingia madarakani mlikuwa kila siku mnapiga kelele kuwa nchi imeoza, ufisadi umetapakaa kila kona na Ccm inaenda kufa. Ilikuwa kila kikao cha bunge lazima usikie kuna ufisadi wa kuutisha mara Epa ,Escrow n.k.
Rais aliyekuwepo najua kwa asilimia kubwa alikuwa hataki haya mambo ndio maana hata yeye alikuwa anaruhusu bunge liisurubishe serikali yake. Mfano ni kwenye kashifa ya Escrow tuliona namna bunge lilivyoisurubu serikali yake. Mpaka azimio la bunge likaundwa ili waliohusika wachukuliwe hatua.
Kuna jamaa zaidi ya miaka kumi na tano walikuwa wanatuibia rasilimali zetu. Amekuja JPM kasimama kidete ili na sisi tuanze kunufaika na mali ambayo Mungu ametupatia .
Sasa najiuliza je mlitaka watu wachache tu wawe wanajichotea mali za umma kama ilivyokuwa hapo zamani? Maana najua yule mzee wa Msoga upole ulizidi ndio maana watu wakawa wanaiibia nchi wanavyotaka. Kila sekta ilikuwa ni wizi tu. Iwe ni vocha za pembejeo,wafanyakazi hewa n.k
Je nyie Chadema ambao sasa hivi mnaponda JPM mlitaka ufisadi uendelee ili mpate sifa za kisiasa? Mbona mnakuwa wanafiki kama wanawake wa saluni?
This is free country,na kila mtu ana uhuru wa kutoa maoni yake.Soma ibara ya 18 ya katiba ya JMT .Jenga nccr wewe acha kuwa kasuku wa lumumba
Huyo hawezi kuona mambo kama haya kwasababu ni mufilisi wa akili.Rule of law
Good governance
Hivyo tu
Kumbe unajua hii ni nchi huru!!Sasa unamwambia Nani akuachie taifa lako? Ni taifa lako na Mama ako ama vipi?tuko huru pia kuwasema mnapoleta Mambo ya kishamba,mmefail vibaya Sasa hamtaki kuambiwa,shenzi kabisa.This is free country,na kila mtu ana uhuru wa kutoa maoni yake.Soma ibara ya 18 ya katiba ya JMT .
Ufisadi gani wakati Mwambe Mbunge hewa anachukua posho na mshahara !!Ndio kwa asilimia 100