MMU inaniharibu!!!


mbona maiti nyingi huwa zinasifiwa hata kama zina mabaya huwekwa pembeni na kusifiwa mazuri yao!
 

Nakutafuta sana.........
 
Katika mahusiano kuna rahaa sanaa hasa ukipendwa nawe ukapendeka. Kudeka,kusaidiana ktk kila jambo,kusamehana,kuvumiliana,kuridhishana kimapenzi and so on. Ukimpata wa ukweli na sio tapeli wa mapenzi utaenjoy. Hope na mm nimpate wa ukweli
 

dah kweli mwana ata mie imeniharibu...yaani wanawake hapa un aona kabisa wapo kipesa pesa tuu basi unachukulia kuwa wanawake wote hawana mapenzi ya kweli...mwishio ndio hayo ya kuwagegeda na kusepa. mmu is detrimental to our thinking
 
Mkuu,ukitaka kujiunga JWTZ au JKT hupaswi kuuliza raha za jeshini ulizia challenges.

Usijifiche kwenye shamba la karanga!!

Maneno haya ayasome mleta mada...umemtolea mfano mzuri sana
 
Heheheheeee asa inakuharibu kwa vip??? Wewe fuata moyo wako hapa kila mtu na mawazo yake sasa ukitaka kushikiwa mawazo imekula kwako
 
kuna kuachwa hali ya kuwa unapenda lazma usifie kwani mapenzi si vita ..kizuri kipe sifa yake
 
Mkuu,ukitaka kujiunga JWTZ au JKT hupaswi kuuliza raha za jeshini ulizia challenges.

Usijifiche kwenye shamba la karanga!!
changamoto zikizidi nazo ni tatizo sana. unaweza hairisha kwenda hata kama lazima.
 
imefika kipindi naona mapenzi na ndoa ni kudanganyana mwanzo mwisho kitu kinachoweza fanya nisiyaenjoy.

One of a main regrets in life is giving considerable thought to inconsiderate people.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…