Vijana ndo tunasumbua na hizo maada za kusalitiana na kuchunana na mengine lakini kuna member kama Asha Dii sijui kama nitakuwa nimepatia,Mtambuzi,Mzizi mkavu,Mentor,Munkari,King'ast,Eiyer na wengine ukisoma maada wanazopost ni za ukweli zinafundisha,kuna vijana wameingia humu sijui wamekuja kwa kimbunga dah! mpaka unaweza kuhisi hakuna raha hata kidogo kwenye mapenzi......pole sana ila wanakuja watakuwa wamekusikia
Kweli umesema point...mi kuna siku nlikuwa namsifia my ex some pipo wakawa wananishanga,..panapo mazuri jamani tuambiane tu,life has a very good side as well
Sawa babu shikamooo,ila hao wajukuu wako wako vizuri sana wanapotoa maadaHao uliowataja sio vijana? FYI napokea sana shkamoo zao japo mie ni mmwaga ----- mwandamizi hapa mmu.
Don't take JF too serious. Okota unaloona lina manufaa, potetezea unapokutana na up.upu.
Ukiwa serious sana huchelewi kufa kwa mapresha kwa kuudhiwa na jitu usilolijua.
Niite babu ODM.
Ngoja mi nianze kusifia,jamani mapenzi matamu nyie,ukimpata akupendae nawe ukampenda,mkajuliana utahisi kama uko paradiso ndogo... Tatizo ni kwamba wengi tunavaa viatu visivyo fiti
Sawa babu shikamooo,ila hao wajukuu wako wako vizuri sana wanapotoa maada
sio siri nafikiria kuacha kupita huku. kila uzi ukifungua unakuta habari za kusalitiana, mara nahisi anipendi mara sina feelings nae na mada zingine hasihasi kibao.
imefika kipindi naona mapenzi na ndoa ni kudanganyana mwanzo mwisho kitu kinachoweza fanya nisiyaenjoy. sikumoja moja muwe mnaweka nyuzi za jinsi mnavyowapenda wenzi wenu, mlivyowavumilia, jinsi mmejizuia kuwasaliti na ishu kama hizo.
Hahahahaaaa kumbe wengine huwa wanazaa nini?Nawakubali sana. Kweli kwa hapo wanangu walizaa watoto.
Hahahahaaaa kumbe wengine huwa wanazaa nini?
Hebu twende PM kuna kitu nataka nikuombe.
Hebu twende PM kuna kitu nataka nikuombe.
Nyanyuka basi twende
inwezekana ndiyo ile kwamba habari mbaya ndiyo habari!?.