MMU Hodiiiii

Poise

JF-Expert Member
Joined
May 31, 2016
Posts
7,659
Reaction score
7,948
Habari wana MMU.
Kama mada tajwa hapo juu inavyosomeka.

Mimi naitwa [HASHTAG]#Poise[/HASHTAG], ni ME.
Nimekuja rasmi humu MMU baada ya kutendwa na mada za Siasa .
Yaani, hasa matamko ya mtu wa taratibu alieyetinga Kwenye himaya na kusema kuwa ripoti hatutaziona ile ya kuhusu masalio na repoti yake saidizi .

Maana, humu MMU naona penyewe kila kitu kipo wazi hakuna mara taarifa hii ni ya Mods au ile ni [HASHTAG]#Poise[/HASHTAG].

Naami mtanipokea Kwa busu mingimingiiii kutoka kwa KE wa humu MMU pekee.
Pia, mimi nakula KE pekee

Hizo , mambo ya Obama wa USA na Cameron wa UK sitaki kabisa hizo habari.
 
Karibu ila kwanini unajibana majukwaa ya kuwepo.

M
Shambulia majukwaa yote ukipenda mada bila kujali jukwaa unamsha nayo.
 
Karibu ila kwanini unajibana majukwaa ya kuwepo.

M
Shambulia majukwaa yote ukipenda mada bila kujali jukwaa unamsha nayo.


Yaani, hata kwenye TV na radio nikisikia taarifa inahusu siasa nitakuwa nazima main switch kabisa.
 
Yaani, hata kwenye TV na radio nikisikia taarifa inahusu siasa nitakuwa zima switch kabisa.
[emoji3][emoji3]
Siasa haikwepeki hadi humu MMU kuna siasa. Utaziona tu
 
Ningependa kufaham wanaume hawakaguliw???[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Kwanza wewe umetoroka ukaguzi....

Asavali nimekuona. Kesho baada ya misa uriport pm nikupe ratiba
 
Hamna.... Kesho unapata ratiba ya zoezi zima litakavyo enda.
Karibu
Asanteeeee ninategemea ukaguzi wako utakuwa na kiwango cha phd[emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Mrembo (KE) anaruhusiwa kunikagua siyo ME .

Karibu, lakini kama wewe KE tu plz
Mgeni wewe Bado hujaruhusiwa kufanya ukaguzi....

Ngoja tukupe muda wa probation kwanza kukuangalia kama unaweza kufanya ukaguzi.
 
Asanteeeee ninategemea ukaguzi wako utakuwa na kiwango cha phd[emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Teh tehhhhhhh Shaka ondoa.
Ngoja nifungue faili lako.
 
Teh tehhhhhhh Shaka ondoa.
Ngoja nifungue faili lako.
Kufunguliwa fail tena[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…