miss u tooo!sema duh! Window7 ni badhadhi halisi mwe.hahahahaaaa!!! mkuu, mjifungie? khaaaa!!! kumbuka kutumia nailoni!! hahahaaaaa!!! miss you https://www.jamiiforums.com/mahusiano-mapenzi-urafiki/598767-mmu-fursa-bet-59.html#post8817820
ha!ha!haaaaaa!sasa hzo siri za ndani shemeji ilikua siku moja yani moja tyu lakini siku zingne zote na blutusi kweli tena.aaah hahahaaaa!!! acha kunizingua wewe!! au nifukunyue thread ya kile kibendi alichokupa? Window7 namuaminia! akilenga, hata kama kafumba macho....
mekumic pia laazizi wangu kipenzi mmwaaa!
aah! Window7 ye anatoaga hela tu aafu anakula kwa blutusi muulize atakwambia.
Ha!ha!ha!ha.. Mimba kaitaifisha kwa huyo sharobaro wake.
J.lee ndio uko kwa huyu sharobaro.. Pole sana mamito kwa kuchagua galasa..
J.lee ndio uko kwa huyu sharobaro.. Pole sana mamito kwa kuchagua galasa..