Ujio wa under 20 mango g umeleta competition kubwa sana kwa vijana hapa MMU. Kilichonistua hata mkongwe kama Asprin nae anakanyatia haka ka binti kenye swarga za ha. Yaani dia kanaita diha mwe!
Bila kumsahau Prince Akeem nae katoroka Zamunda kafuata under 20 bongo.
Nimesikitika kuona mdogo wangu Excel amekua mshauri badala yakuchukua fursa.
Heshima kwa Mchungaji Eiyer , Swts na miss neddy kwakumpa ushauri mwema lakini tafadhali hapa kwenye bet mmuachie mwenyewe achague papaa lakumlea.Si unajua Jamii forums party second version iko arround.
Ninachokuomba dia mango g njoo ututajie nani atakufaa kati yetu.
tafuta thread inaitwa
ahsanten kwa ushauri pia naomba na mimi mnipokeee kama sijakosea
kuna kabinti kanitaka kusababisha watu wachaniane mashati hapa
kisa kamesema kako under 20
so kako wanted na mabazazi wa mmu
wanaipigania hiyo namba