mmu exclusive na @lara i

Smile

JF-Expert Member
Joined
Jul 18, 2011
Posts
15,347
Reaction score
11,628
kuna watu wanataka kutuharibia jf yetu hapa. ooh wadada wa huku wapo hivi mara vile.love connect itakuwepo sanaa na ndoa zitaendelea kufungwa kama kawa.
tuyaache hayo sijui @Lara kipindi kilikosa udhamini.sasa leo naomba turudishe mshow wetu hewani leo najivolunteer niulizeni chochote nitawajibu kiroho swaaafi.ila sitaki pm live live hapa.
 
What is your idea of nirvana and what is your form of escapism, if you have any?

What are your likes and dislikes? These could be in anything...

What are your must haves and can't stands? Also could be in anything...

Are you 4-20 friendly?

What are you attracted to in a man?
 
smile utapenda kula nini jioni ya leo
 
Watu wanaandika vitu ambavyo walitakiwa wavifikirie tu!

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
nipo njiani nikifika home nawajibu msijali nyie wekeni maswali nitakuwepo hadi majogoo
 
Kama nakutaka nikakuchana live muda huu kwamba nakutamani unaweza kukubali hapahapa muda huu na roho yangu itulie!!!:tape2:
 
matunda ..apple 2 karoti 2 na maji ya moto ya asali cause najipunguza kidogo

safi smile,hayo maji nashauri yawe ya vuguvugu halafu ongezea na ndimu Smile
 
Last edited by a moderator:
Kama nakutaka nikakuchana live muda huu kwamba nakutamani unaweza kukubali hapahapa muda huu na roho yangu itulie!!!:tape2:
vigezo na masharti kuzingatiwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…