Weraaaaaaa weraaaaaaaaaa! Kama kawa kama dawa Ijumaa hii ndani ya nyumba tunae Mtu mzima @Prisoner 46664 ambapo atatiririka on his Personal Experiance of Transformation from a Boy To a Man!!!!!!!!!! Si ya kukosa! Si ya kusimuliwa! Maswali yetu yale ya kizushi kama kawaida hayatokosekana na lile One for the Road ni balaaaa safari hiii!!!!
Wewe mtake radhi mwenzio umemkuta humu jukwaani!!!!!!!!! Sema yuko kisiasa zaidi! Plus hata underground ni wana jamvi nao pia, so ikitokea mmoja akaomba kushiriki namuweka kama kawa! Sote ni ndugu wajameni!
Huyu memba wa longi sanaa, Trust me, nikimualika mtu humu ujue amakidhi viwango! Na his life is entertaining na mapya ya kutosha!