MMU EXClUSIVE IJUMAA HII!@ Prisoner 64446 Kufunguka on His Personal Experiance from a Boy to a Man!

lara 1

JF-Expert Member
Jun 10, 2012
15,700
29,111
Wakubwa zangu shikamooni!

Weraaaaaaa weraaaaaaaaaa! Kama kawa kama dawa Ijumaa hii ndani ya nyumba tunae Mtu mzima @Prisoner 46664 ambapo atatiririka on his Personal Experiance of Transformation from a Boy To a Man!!!!!!!!!! Si ya kukosa! Si ya kusimuliwa! Maswali yetu yale ya kizushi kama kawaida hayatokosekana na lile One for the Road ni balaaaa safari hiii!!!!

Host: Lara 1 and Zinduna

Topic: From a Boy to a Man! The Transformation! His personal experiance.

Guest: @Prisoner 46664

Time: 10:00 am Nairobi Time Friday

ANGALIZO!

Mjiheshimu wajameni, kuingilia mada hakutakiwi!

Pia kama mtu ungependa kuwa guest au unajambo unataka kulitoa moyoni na kushare na wengine, jst Pm then tukuweke kwenye ratiba!!!!


KAMA KAWAIDA HALIRUDIWI SWALI!!!!!!!! LILOPITA LIMEPITA! Hapa ni Bank ya Maswali! JF is NEVER BORING!!!!!!
 
Umeanza kuweka underground????

Wewe mtake radhi mwenzio umemkuta humu jukwaani!!!!!!!!! Sema yuko kisiasa zaidi! Plus hata underground ni wana jamvi nao pia, so ikitokea mmoja akaomba kushiriki namuweka kama kawa! Sote ni ndugu wajameni!

Huyu memba wa longi sanaa, Trust me, nikimualika mtu humu ujue amakidhi viwango! Na his life is entertaining na mapya ya kutosha!
 
Prisoner 46664 anatakiwa afunguke ni sababu gani iliyompelekea kutumikia kifugo.
 
Prisoner 46664 anatakiwa afunguke ni sababu gani iliyompelekea kutumikia kifugo.

Hahahaaaaaaa! Atafunguka usijali! Ila hiyo avatar ya Snoop imekutoa kweli, kama Gangstar la ukwee!
 
ok...will keep on waiting
ila wale wanaoingilia mtiririko wa show huwa wanazingua sana
 
Wnaoingilia mtiririko wanaboa kinomaa dawa yao iko jikoni!
 
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom