Mmoja afa, wengine wajeruhiwa ajalini dar!!

Aisee hii kali yaani ni ajali ndani ya ajali

Mungu amrehemu marehem na majeruhi awape uponyaji
 
Poleni sana majeruhi, Mungu awasaidie mpone haraka. Na kwa waliopoteza maisha RIP
 
dah pole sana majeruhi na wafiwa ndio zinaonekana sasa ajabu traffic yuko busy na simu yake anapiga picha!! labda kwa ajili ya ushahidi mahakamani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…