Mmmmh Uafrika bhana

mwanaume ni mwanaume tu! Hata akiwa mtoto. Nakumbuka wakati nikiwa km 6yrs kuna rafiki yake dada angu alikuwa akija home mpaka anibebe mgongoni au ananipakata aisee nilikuwa nasikia raha vibaya mno. Na alikuwa mzuri kwelikweli nilikuwa siishi kwenda kwao!
 
Dogo anawaza nn.. inamaana na mama yake huwa anamshika hiv au.....

Mh ni photographic memory tu labda niwe nimezeeka,.we siokijana MAKOKO SEMINARY [ST PIUS MUSOMA],ULIEKUWA UNALELEWA NA WAJERUMANI ENZI ZILE,PICHA HIZI ULIKUWA UKIBEBA KILA MAHALI. Vp za wapi?
 
Mh ni photographic memory tu labda niwe nimezeeka,.we siokijana MAKOKO SEMINARY [ST PIUS MUSOMA],ULIEKUWA UNALELEWA NA WAJERUMANI ENZI ZILE,PICHA HIZI ULIKUWA UKIBEBA KILA MAHALI. Vp za wapi?

Huyu kijana wa UKWAYANI, alipugwa.
 
Duka la mwanga kabisa hilo. Mkono ulioshika matiti haulingani na kimo/umri wa huyo mtoto mgongoni kabisa.
 
Yaani nyie mnaona huyo ni motto kweli. ni mtu mzima sana sema shida za kiafrika tu. Kakomaa sana huyo. Em angalia vema sura yake..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…