sad story to tell, kuna graduate mmoja kafariki j3 ya this week, leo ni tarehe 22 kafa siku moja kabla ya kupata subsistence allowance. na ndio ilikuwa mwez wa kwanza kazin first appointment na alikuwa amekaa home 4 yrs akisotea kazi pasi mafanikio ndo kaja kuipata tu kadanchiii bila ata kula ela ya kujikimu