Simba ni wanyama wenye kupenda kupendwa pia. Simba akizoeshwa michezo hucheza kama cats wengine. Simba ni mbaya kama ana njaa! Akiwa ameshiba na mmezoeana hana tabu. Simba pia ana huruma. Kuna simba aliwahi kulelea mtoto wa choronga hadi simba mwingine mlafi akipomla. Simba hata kama mkali kiasi gani ukimkazia mcho face to face hugeuka na kuangalia mbali. Logwa umpe kisogo utajuta!