Mmmhh ya leo kali!



Anajifananisha na mwarab....yaani mtu unajichubua mpaka kucheka imekuwa shida? jamani watu wanamkosea Mungu hivi hivi bila hata kujijuwa, hata hao masheikh wanaofungisha hawa watu ndoa wanashindwa kuwakatalia kweli kwa kumkosea Mungu. Kwani weusi una nini mpaka mtu uukatae na kujichubua namna hii? Mbona bwana harusi kapendeza tu na rangi yake original?
 
Kitu gani sijui hiki... Kama sokwe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…