Unajua nini BAK,
Niliwahi kumweleza mkubwa mwenzangu Fixed Point kwamba avatar nyingine zinawanyima watu usingizi, na kwamba ni nina bahati kwa vile nimestaafu akaishia kunishangaa....
Ndiyo maana nilitamani aone ulivyoziona hizo lips na kuzifananisha na za fulani au.....!!
Babu DC!!
Unajua msemo wa wanywaji wa safari lager wewe??
Kwamba ukinywa safari moja unafanyaje??
Ngoja nikuletee thread ya mdau mmoja kuhusu ngoma zinazoendelea huko PM...lol!!
https://www.jamiiforums.com/mahusiano-mapenzi-urafiki/547704-kushinda-kwenye-pm.html
Kama bado hujanielewa hadi hapo basi tena,
Babu DC!!
Unajua nini BAK,
Niliwahi kumweleza mkubwa mwenzangu Fixed Point kwamba avatar nyingine zinawanyima watu usingizi, na kwamba ni nina bahati kwa vile nimestaafu akaishia kunishangaa....
Ndiyo maana nilitamani aone ulivyoziona hizo lips na kuzifananisha na za fulani au.....!!
Babu DC!!
Hahahaaaa Babu bana haya nimekusoma.
BAK na wewe bwana,Kwi kwi kwi kwi Hahahahaha lol!!! Babu Dark City lakini uliandika aje kusoma yaliyoandikwa na sikuona picha ya hizo sexxxy lips. Au vidole viliteleza babu!? Lol!!!!
Unajua nini BAK,
Niliwahi kumweleza mkubwa mwenzangu Fixed Point kwamba avatar nyingine zinawanyima watu usingizi, na kwamba ni nina bahati kwa vile nimestaafu akaishia kunishangaa....
Ndiyo maana nilitamani aone ulivyoziona hizo lips na kuzifananisha na za fulani au.....!!
Babu DC!!
Chezeya PM weye Babu Dark City!!!!.... Watu walishakubaliana na marafiki waje wapate msosi wa nguvu wa usiku kisha waende kujirusha club kwa raha zao. PM zikanoga sana msosi ukaishia kuungua lakini ukaliwa hivyo hivyo maana "haukungua sana" utamu wa pm watu wakagoma kwenda kujirusha club PM zikaendelea kupamba moto kuja stuka kumekucha watu hawajala. Jumapili hiyo misa ya asubuhi haiwezekani tena ikabidi walale kwanza kisha waende kuabudu kwenye misa ya jioni. BAK anasema hataki maswali ππ
Hapa sina la kusema,
Wazee wa haya mambo wapo... Nyani Ngabu, The Boss.......
Mie sina hata password ya PM,
Babu DC!!