BADILI TABIA
JF-Expert Member
- Jun 13, 2011
- 32,766
- 23,224
Those we love dont go away
They walk beside us every day
Unseen, unheard but always near
Still loved, still missed and very dear
(mashairi kwa hisani ya ???)
Pole sana BT,i am feeling for you.Kipande hiki ni kizito............
Nakumbuka miaka kadhaa iliyopita......
Usiku niliongea nae, tukapanga niende kumwona....(distance love).....
Tukacheka....
Akaniambia jinsi anavyonipenda.....
Tukazungumzia mipango ya ndoa......
Tukaamua nikifika keshokutwa yake tupange zaidi....
Baada ya jokes za hapa na pale akanipa ushauri mzito...ushauri ambao nimekuja kuutumia na kunifaa maishani........
Nilikosa usingizi that day.......
Nikakumbuka ndoto niliyoota kama miezi mitatu nyuma....
Niliota amepata ajali na kaumia.....
Nikaiootezea.....
Kesho yake nikaamka saa kumi na moja asubuhi.....nikaghairi kwendz kanisani, ila nikawaamsha wenzangu nikawaambia waende kanisani....
Ilipotimu saa kumi na mbili nikapokea simu.....
Nikaambiwa 'fulani ' tumempoteza.....
Amepata ajali ........
Gari yake imegongana na lori.....
It took me two years to heal.....
Kwa sala na maombi.........................
Bishanga niache bana. . .this is serious!!Makubwa! Konnie kumbe you also have a sentimental side? Ama kweli ndo mana chui na ubabe wake naye huwa anapigwa mimba!
Lizzy ukimwona mwambie aache ku flip flop,mwambie vibaya hivo.
Makubwa! Konnie kumbe you also have a sentimental side? Ama kweli ndo mana chui na ubabe wake naye huwa anapigwa mimba!
Lizzy ukimwona mwambie aache ku flip flop,mwambie vibaya hivo.
BADILI TABIA pole sana mpendwa! ....usisahau kumshukuru Mungu kwa kila jambo manake yeye ndie ajuaye kesho yetu!....na siku zote kazi ya Mungu haina makosa....pole again.Kipande hiki ni kizito............
Nakumbuka miaka kadhaa iliyopita......
Usiku niliongea nae, tukapanga niende kumwona....(distance love).....
Tukacheka....
Akaniambia jinsi anavyonipenda.....
Tukazungumzia mipango ya ndoa......
Tukaamua nikifika keshokutwa yake tupange zaidi....
Baada ya jokes za hapa na pale akanipa ushauri mzito...ushauri ambao nimekuja kuutumia na kunifaa maishani........
Nilikosa usingizi that day.......
Nikakumbuka ndoto niliyoota kama miezi mitatu nyuma....
Niliota amepata ajali na kaumia.....
Nikaiootezea.....
Kesho yake nikaamka saa kumi na moja asubuhi.....nikaghairi kwendz kanisani, ila nikawaamsha wenzangu nikawaambia waende kanisani....
Ilipotimu saa kumi na mbili nikapokea simu.....
Nikaambiwa 'fulani ' tumempoteza.....
Amepata ajali ........
Gari yake imegongana na lori.....
It took me two years to heal.....
Kwa sala na maombi.........................
Mie nimekuelewa, nashangaa in the first place ilikuwaje ukanasa. In the second place, kwenye tundu bovu.
Mie mwizi akiibiwa huwa nafanya sherehe. Nisingechungulia elimu ya UPE nahisi ningekuwa mchawi!
BADILI TABIA pole sana mpendwa! ....usisahau kumshukuru Mungu kwa kila jambo manake yeye ndie ajuaye kesho yetu!....na siku zote kazi ya Mungu haina makosa....pole again.
Kipande hiki ni kizito............
Nakumbuka miaka kadhaa iliyopita......
Usiku niliongea nae, tukapanga niende kumwona....(distance love).....
Tukacheka....
Akaniambia jinsi anavyonipenda.....
Tukazungumzia mipango ya ndoa......
Tukaamua nikifika keshokutwa yake tupange zaidi....
Baada ya jokes za hapa na pale akanipa ushauri mzito...ushauri ambao nimekuja kuutumia na kunifaa maishani........
Nilikosa usingizi that day.......
Nikakumbuka ndoto niliyoota kama miezi mitatu nyuma....
Niliota amepata ajali na kaumia.....
Nikaiootezea.....
Kesho yake nikaamka saa kumi na moja asubuhi.....nikaghairi kwendz kanisani, ila nikawaamsha wenzangu nikawaambia waende kanisani....
Ilipotimu saa kumi na mbili nikapokea simu.....
Nikaambiwa 'fulani ' tumempoteza.....
Amepata ajali ........
Gari yake imegongana na lori.....
It took me two years to heal.....
Kwa sala na maombi.........................
Kongosho mbona haya madhara ni makubwa hivi lol....eti kama asingechungulia UPE angekuwa mchawi tehe, tehe!.... hay na wewe kimekusibu nini? ....ndio kusema mateka kakata kamba moja kwa moja?
Mkuu, I'm so touched with your story. Pole na vyema you had a courage to move on.
Kongosho pole mamii..kupoteza watu tunaowapenda maishani ni pigo kubwa sana..
iiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii.........................iiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii
Hahahahahah! kumbe huwa unashirikiana na mke mwe King'asti kupuliza msuba eeh?????...eti anakunywa mwenyewe lol.....unachezeiya Konnie wewe?
Akate kamba aanzie wapi? Ana jeuri?
Nimetoka kumwongeza dozi ya limbwata mwezi ulopita, siku hizi anakunywa limbwata mwenyewe.