mmmh! jamanii! tuko pamoja tena! eh! mi yangu macho! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

mmmh! jamanii! tuko pamoja tena! eh! mi yangu macho!

Discussion in 'Jukwaa la Lugha' started by Swahilian, Apr 29, 2009.

 1. Swahilian

  Swahilian JF-Expert Member

  #1
  Apr 29, 2009
  Joined: Apr 28, 2009
  Messages: 585
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  aah! nd, zangu mbona hivyoo! mnafika huku hata kunishtua! au mliogopa ntashtuka na kuanguka kwa shinikizo? si tatizo ningeamka tu hata isingekuwa tatizo! lakini unajua nini mwenzio! aah! aloo nimefurahi sanaa na simanzi na upweke wamenikimbia sasa hivi kisa nimekwona, si unawaona Furaha na Upendo wanavyojisogezaa! sasa fanya hivi, waambie watulie pale ili niwape nyie wote zawadi ya huyu mbuzi ndafu kila utafunapo kipande unapokea SALAAM ZANGU!
   
Loading...