obsesd JF-Expert Member Joined Nov 23, 2011 Posts 1,225 Reaction score 530 Dec 1, 2011 #1 jaman nipo angaza hapa nataka jua afya yangu ila ilo jam lake balaa yan kumbe kila mahala bongo jam tuu duh nways me sikat tamaa nakomaa 2, mkilog off mkapime jaman muwah folen.
jaman nipo angaza hapa nataka jua afya yangu ila ilo jam lake balaa yan kumbe kila mahala bongo jam tuu duh nways me sikat tamaa nakomaa 2, mkilog off mkapime jaman muwah folen.
A allydou JF-Expert Member Joined Apr 16, 2009 Posts 1,603 Reaction score 1,065 Dec 1, 2011 #2 Jam hadi kwa waudumu wa baa ( kwa wale wazee wa kuvizia mambo flani flani hivi ya kikubwa)
Sniper JF-Expert Member Joined Mar 8, 2008 Posts 2,008 Reaction score 950 Dec 1, 2011 #3 Safi sana, inapendeza kuona watu wana mwamko wa kujua afya zao
Jeji JF-Expert Member Joined Jun 28, 2011 Posts 1,973 Reaction score 372 Dec 2, 2011 #4 angalia mkuu hiyo jam msiishie kwenye ushauri nasaha, halafu kwenye majibu mkala kona.