Mmmh! Hakika Mungu Anaumba

Ni mabinti wangapi ambao leo waweza jivunia namna walivyoumbwa na Muumba wao hasa hasa wakapewa "rangi" kama alopewa huyo mrembo? ....

Na ni vijana wangapi wa kiume ama wanaume ambao watajivunia kuwa na binti ama mwanamke mwenye "wasifu" huo?
Ninae na najivunia kuwa nae, hapendi kusikia habar za chemical za kupaka mwilin
 
Tatizo sio wanawake kama wengi tunavyofikiria, tatizo ni wanaume.....!! Kama wanaume wote mimacho kwa wadada weupe lazma weusi wafikirie namna ya kushindana sokoni. Siku hizi kuna matako bandia, manyonyo bandia, kope bandia, nywele bandia yote hiyo ni kutokana na reaction kwenye soko. That's why men need only money!
 
Amezidi weusi

Amezidi weusi??? Kwani hiyo rangi nyeusi ya ngozi yake amejipaka mwenyewe mpaka wewe useme "amezidi weusi"?
 
I love black women they got pink pvssy.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…