"mmisri avaa viatu vya osama bin laden"

mjunguonline

Member
Joined
Mar 10, 2011
Posts
73
Reaction score
6
Saif al-Adel, ambaye aliwahi kuwa afsa mwanajeshi wa kikosi maalum katika jeshi la Misri, anasemekana kuwa kwa sasa ndiye aliyechukua nafasi ya Osama bin Laden, ambaye aliuawa na jeshi la Marekani hivi karibuni
huko Pakistana.


Saif anakuwa kiongozi 'mlezi' wa al-Qaeda wakati pakisubiriwa mtu wa kumrithi Bin Laden.


Habari hizi zilikifikia kituo cha luninga cha CNN baada ya aliyewahi kuwa kiongozi wa al-Qaeda huko Libya kuwadokezea.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…