Aloysius Member Mar 1, 2011 80 9 Sep 5, 2011 #1 Just a minute mmiliki wa blog hii au promoter wa blog hii ya Jamii Forum ni nani tumpatie shukrani zetu kwa kukuza uhuru wa mawazo huku tukisherekea miaka hii hamsini ya uhuru?
Just a minute mmiliki wa blog hii au promoter wa blog hii ya Jamii Forum ni nani tumpatie shukrani zetu kwa kukuza uhuru wa mawazo huku tukisherekea miaka hii hamsini ya uhuru?
Teamo JF-Expert Member Jan 9, 2009 12,272 1,035 Sep 5, 2011 #2 mmiliki ni mimi...! wasemaje sasa rafiki?
Bigirita Platinum Member Feb 12, 2007 15,986 7,367 Sep 5, 2011 #3 Teamo said: mmiliki ni mimi...! wasemaje sasa rafiki? Click to expand... tilalilaaa! Watu wanasema wewe ni mbakaji, umebaka uhuru wao tilalila!
Teamo said: mmiliki ni mimi...! wasemaje sasa rafiki? Click to expand... tilalilaaa! Watu wanasema wewe ni mbakaji, umebaka uhuru wao tilalila!
Teamo JF-Expert Member Jan 9, 2009 12,272 1,035 Sep 5, 2011 #4 Bigirita said: tilalilaaa! Watu wanasema wewe ni mbakaji, umebaka uhuru wao tilalila! Click to expand... heheheheheh!.... ndo waanzishe blogu zao sasa...! gadem zao
Bigirita said: tilalilaaa! Watu wanasema wewe ni mbakaji, umebaka uhuru wao tilalila! Click to expand... heheheheheh!.... ndo waanzishe blogu zao sasa...! gadem zao