Mmhh tumekwisha sasa!


Ni kweli kabisa umemueleza vizuri. Mzunguko wa fedha umekua mbaya sasa hivi na kuathiri biashara nyingi kutokana na mwamko mkubwa wa wazazi kusomesha kwa kuigharamia elimu. Kama ulivyomueleza ikitokea elimu imetolewa bure japo kuna kaugumu hapo, fedha ya mzazi itaingia kwenye maendeleo mengine ikiwa na makazi bora na mlo mzuri angalau.
 

kayaman,Dumelang na wengine wote mliomkashif mleta mada kwa uelewa wake hamna busara, pia naweza sema hamjaelimika. Kwa vile mleta mada amejipambanua levo ya uelewa wake ilipaswa apewe wigo zaid wa kuelewa dhana ya elimu ya bure. Lkn siyo kumpa matapish yenu yalijaa harufu ya mtori na mbege. Ndoroooooobooo nyie.
 
Pengine hili zoezi la elimu ya bure lingeanza mapema usingeishia la saba ivooo, ungekuwa na phd yako saa hizi, na fikra zako zingekuwa tofauti na ulizonazo kwa sasa
 
Kawadanganye wajinga wenzio. Nitajie nchi tajiri inayotoa elimu ya bure mpaka Chuo kikuu. Please usiniambie Kuna baadhi ya michango inatakiwa kulipwa. Haya nenda ka google ulete hapa. Ukiniletea nakurushia 100000 kwenye mpesa yako.

Sweden.
 

Duu, jamaa huna point kiasi kwamba unatakiwa utuombe msamaha wote tuliofungua hii thread!Kuna kitu wenzetu wanaita "unconditional na conditional love". Familia inatakiwa kuwa na upendo ambao ni unconditional, inamaanisha kuwa hata kama mzazi wako hana kitu upendo na heshima iko pale pale. Kama wewe unamheshimu mzazi wako kwa sababu anakununulia pipi basi hiyo heshima ni feki na sio kitu cha kuzungumzia hapa jamvini. Iwe ni siri yako. Umenielewa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…