Mmhh tumekwisha sasa!

Nadhani labda swali la msingi ni je utolewaji wa bure utakuwa wa quality ipi? Kimsing sioni tofauti yeyote itakayotokea ukilinganisha na sasa, na sidhani kama kuitoa bure kutatupeleka mbele. Kwa sasa shule ya msingi ni bure na sekondari ni elfu 20 mpaka 70 (mnaojua mnisahihishe). Hii ni gharama ndogo ambayo yaweza kufutwa tu bila shida.

Chuoni pia kunatolewa mikopo ambapo urejeshaji wake unalegalega kwa hivo ni kama nusu bure kwa wanopata mikopo. Kwa maana hiyo kitakachofanyika ni kufuta hizo za sekondari na kutodai marejesho chuo kikuu baada ya wahatimu kupata kazi, ambayo sidhani kama ni sera endelevu na itachangia kupunguza uwezo wa bodi kutoa hizo upkeep fees.

Najua hili ni suala la kisiasa zaidi pengine wenye sera hii watupe manufaa ya kuifanya elimu kuwa bure?? Kwa mtazamo wangu maboresho ya elimu inayotelewa kwa maana ya quality, mtaala, walimu, majengo, maabara, ni muhimu zaidi kuliko kuifanya bure.

happy sunday
 
Mbona Nyerere aliweza??? Bila Madini, Gesi wala Mafuta!

Unajuwa idadi ya watanzania waliosoma kipindi cha nyerere? Tulipata misaada pamoja na kurithi vyuo vya mkoloni hata hivyo nchi haikuwa na wasomi watu walilazimishwa kwenda shule. Sera ya kuchangia elimu siyo ya Tanzania imeletwa mataifa makubwa na hakuna atakayeifuta labda ukubali nchi yako iwekewe vikwazo ambapo madhara yake yatakuwa makubwa kuliko kuchangia gharama za elimu. Lowassa anajuwa ukweli wote lakini anawadanganya .shauri yenu
 
Mbona Nyerere aliweza??? Bila Madini, Gesi wala Mafuta!
Wakati wa awamu ya Nyerere idadi ya watu ilikuwa wachache,na wasomi wachache,na mwamko wa elimu ulikuwa sio mkubwa,na hata shule zilikuwa chache.Ni sawa na mzazi mwenye watoto wawili na mwenye watoto kumi,matumizi ya kuwaleya yatakuwa tofauti.
 
Kawadanganye wajinga wenzio. Nitajie nchi tajiri inayotoa elimu ya bure mpaka Chuo kikuu. Please usiniambie Kuna baadhi ya michango inatakiwa kulipwa. Haya nenda ka google ulete hapa. Ukiniletea nakurushia 100000 kwenye mpesa yako.
 
Toa point zako.
Ficha ujinga wako watu watakuona mwelevu, kama una uelewa pangua hoja zangu moja baada ya nyingine. Rubbish

We jamaa ni mpumbavu na lofa wa hoja. Bahati yako leo ni jpil
 
Elimu ya bure mpaka Chuo kikuu haiwezekani.lowassa anawadanganya wananchi. Ikitokea akafanya hivyo yatawekwa masharti ambayo asilimia zaidi ya 90 hawatanufaika na hiyo offer.
Kwann lisiwezekane mbona-sasaivi wanasoma bure lakini kwa ubaguzi. Unapewa mkopo wa boom lakini baada ya kumaliza hawajui unaenda wapi, sasa huo mkopo si ni sawa na kusoma bure.
 
Kawadanganye wajinga wenzio. Nitajie nchi tajiri inayotoa elimu ya bure mpaka Chuo kikuu. Please usiniambie Kuna baadhi ya michango inatakiwa kulipwa. Haya nenda ka google ulete hapa. Ukiniletea nakurushia 100000 kwenye mpesa yako.
😀😀😀 nimekupa mfano mmoja wa nchi maskini Trinidad na Tobago umeshindwa kukanusha sasa unataka nchi tajiri ehe he ?

Unahtaji elimu ya serikali ya UKAWA wewe hii ya ccm imekufanya masaburi, yani uniahd mimi elfu 10? Rubbish

Tunza kesho umpe mwanao ada ya shule unayodaiwa. Kasome Elimu ya Scotland inatolewaje, mchango wa serikali katika elimu mpk chuo kikuu, ukiona haikutoshi uje uombe na nyingine. Additionally, kasome na utoaji elimu wa Brazil

We jamaa ni mpumbavu na lofa wa hoja. Bahati yako leo ni jpil

Ha ha ha Malofa katika ubora wetu, u pumbavu wetu ndio think Big zetu. Hapo vipi?
 
Wewe ni bonge la mbumbumbu.
 
Wakati wa awamu ya Nyerere idadi ya watu ilikuwa wachache,na wasomi wachache,na mwamko wa elimu ulikuwa sio mkubwa,na hata shule zilikuwa chache.Ni sawa na mzazi mwenye watoto wawili na mwenye watoto kumi,matumizi ya kuwaleya yatakuwa tofauti.

kuwa na watoto wachache au wengi ni tofauti na kuwa na watu wachache watazalisha kidogo na kulipa kodi kidogo kuliko ukiwa na watu wengi wanazalisha saana na serikali inakusanya kodi kwa wingi na maendeleo yanapatikana kwa mfano angalia China ni ya kwanza kuwa na watu wengi duniani lakini karibia ni ya pili au ya 3 kwa uchumi mzuri duniani kwa maana kila raia anajituma kufanya kazi kwa bidii,
 
Kwann lisiwezekane mbona-sasaivi wanasoma bure lakini kwa ubaguzi. Unapewa mkopo wa boom lakini baada ya kumaliza hawajui unaenda wapi, sasa huo mkopo si ni sawa na kusoma bure.
Umesoma elimu ya juu hapa Tanzania? Je ulipokuwa unajaza maombi ya mkopo ulipewa 100% , Kama hukupewa hiyo iliyobaki alilipia nani? Mbona unasema ni bure? Hiyo ni Ada tu je michango mingine hujawahi kulipa? Wakati unajaza fomu uliambatanisha barua za viongozi wa serikali yako ya mtaa na hati ya Mali Kama dhamana? Hapo utasemaje ni bure? Huna point hakuna elimu ya bore usidanganyike.ukikopeshwa utalipa usipolipa wewe watalipa wengine watafidia.nothing goes for free nowadays
 
wangapi wamekula ada, samahani lakini ila wewe na bulembo naona wote ni sawa tu
 
Sasa wewe ndio mfano wa malofa Kati ya wengi ambao hamjielewi mnapelekwa tu Kama nyumbu na lowasa. Kwa hiyo umeamuwa tena kunidanganya kuwa Scotland wanatoa elimu ya bure.teh teh . Hiyo Trinidad and Tobago unayosema wanatoa elimu ya bure pia umedanganya. Unajuwa maana ya tertiary education inayotolewa huko Trinidad and Tobago? Usidanganyike suala la kutoa elimu ya bure mpaka Chuo kikuu halipo ndugu yangu huu ni uwongo wa mchana kweupe.
 
Duu umemaliza Ndugu.salute
 
Kawadanganye wajinga wenzio. Nitajie nchi tajiri inayotoa elimu ya bure mpaka Chuo kikuu. Please usiniambie Kuna baadhi ya michango inatakiwa kulipwa. Haya nenda ka google ulete hapa. Ukiniletea nakurushia 100000 kwenye mpesa yako.

Germany
 
Achana nae huyo urefu wake wa kuona ni upeo wa macho yake, juzi tu BBC swahili walikuwa na habari ya Wamarekani kukimbilia ujerumani kufuata elimu ya Bure.

CCM imemuua kiakili, muache tu ataamuka October 26 tushamvisha kanzu ya Mabadiliko.

LOWASA FOR TANZANIA
 
Usidanganyike hakuna nchi tajiri hata moja inayotoa elimu ya bure. Bora hata ungenitajia nchi za kisoshalist ungenishawishi kidogo.
 
Hata tukikuelewesha vipi, hautaelewa! Maana ufahamu wako ni mdogo sana! Basi tutaweka option mbili, kama ukitaka kulipa ada ulipe! Maana hakuna namna nyingine, nyie ndio mmekuwa walalamikaji wakuu kuhusu ada, sasa inaenda kufutwa bado tena mnalalamika!!
 
Mwehu!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…