Mmh! Mpangaji mwenzangu majanga

Hesabu ya tajili wa costa au Hiace
Zidisha mala siku 21
Mshahara wa graduate huo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wanawake wa dizani hiyo wengi tu yupo mmoja pale karatu ana miliki bara kubwa tu inaitwa Jack's !!ameuza mbunye sana tu huku anajifanya anauza maharagwe na kunde alipopata mtaji kafungua hiyo bara karatu pale,ni nzuri na maarufu sana kwa wenyeji wanapajua saivi naona anauza ki digital ndo wanaitw malkia wa nguvu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Dont worry your secret is safe without me.
 
Geita [emoji23]

Mkuu nenda na pale Usborn

Watu wanajimwambafai eti mtu wake mchakarikaji

CODE
 
Geita [emoji23]

Mkuu nenda na pale Usborn

Watu wanajimwambafai eti mtu wake mchakarikaji

CODE
Pale ni hatari,mziki mnene na totozi za kutosha!Pale ukienda saa 1 jioni,saa 7 inafika hata hujui imefikaje na unatamani muda urudi nyuma!
 
Hatari sana mkuu,namuonea sana huruma jamaa wa huyo demu maana kaingizwa mkenge hatari!
 
Pale ni hatari,mziki mnene na totozi za kutosha!Pale ukienda saa 1 jioni,saa 7 inafika hata hujui imefikaje na unatamani muda urudi nyuma!
Chunga sana[emoji23]

Na pembeni yake kwenye kona kama unapandisha utokee main road kuna nyingine pale[emoji16][emoji23] vjqna pesa GGM inaishia pale

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Chunga sana[emoji23]

Na pembeni yake kwenye kona kama unapandisha utokee main road kuna nyingine pale[emoji16][emoji23] vjqna pesa GGM inaishia pale

Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahahaaaaaa,unazungumzia chini ya mti mkubwa pale?Pale kuna mbuzi choma safi sana,kuna siku jamaa zangu niliosoma nao chuo ambao wako GGM waliniita,tulikula pombe sana pale!Meza ilikuwa inajazwa bia mpaka chakula kikiagizwa kinawekwa juu ya bia!Hhahahaaaaa,nimepamiss sana pale!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…