Mmh! Mashehe wengine bhana!

Mmh! Mashehe wengine bhana!

Mashaxizo

JF-Expert Member
Joined
Jun 13, 2013
Posts
6,707
Reaction score
3,357
Kuna Shehe flan katika pitapita zake kitaa, alikutana na bonge la duu njiani, gafla shehe akajikuta keshampa 'hi', akajibiwa 'hi', zen kwa mshangao shehe akaropoka "Dada yangu maashallah Mungu amekuzawadia vyote ispokua ki2 ki1 tu!" yule mdada akauliza: ki2 gani icho? ......
Haya toeni jero niwamalizie!
 
Umecopy nakupaste

Sent from my BlackBerry 9360 using JamiiForums
 
Hata usipomalizia mi nishajua,huyo duu hajazawadiwa uliberali.
 
Jaman! si mtoe iyo jero niwape udambwiudambi wa shehe. Chezea mashehe wa karne ya 21 wewe enh!
 
Nimetuma kwa tigo pesa haha endelea basii

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Mashaxico bado unaoga tuuu endelea mwanawane

Sent from my BlackBerry 9360 using JamiiForums
 
Kuna Shehe flan katika pitapita zake kitaa, alikutana na bonge la duu njiani, gafla shehe akajikuta keshampa 'hi', akajibiwa 'hi', zen kwa mshangao shehe akaropoka "Dada yangu maashallah Mungu amekuzawadia vyote ispokua ki2 ki1 tu!" yule mdada akauliza: ki2 gani icho? ......
Haya toeni jero niwamalizie!

chukua hii hapa 500
 
Basi shehe alipoulizwa 'kitu gani icho'
shehe: KIPO CHUMBANI KWANGU, UKIKIPATA TU, HUTAKUA NA KASORO HATA MOJA'
Mdada: kweli?
Shehe: sisi mashehe hatuongopagi.
CHEZEA MASHEHE WA KILEO WEWE ENH!
 
Back
Top Bottom