Mmh! Kaazi kwelikweli !

huyu simba atakuwa kashiba sio bure hakuna upendo hapo
 
Ha ha ha Simba joka la kibisa,Ni ajabu wamekuwa maswahiba!..
 
Imenikumbusha ile picha ya pamoja ya Kafulila na Werema.
 
Hivi mnaikumbuka ile hadithi ya urafiki wa mashaka tulisoma shule ya msingi, ila sikumbuki ni darasa la ngapi vile?
 
Huenda mpaka Mola atakapochukua pumzi yake ndo safari yangu itakuwa imekoma vinginevyo naendelea na safari yangu maana kwenye hizi mikoba kuna confidential documents

Hahahaa hatari miguu itaingia tumboni lol
 
Tupendane tu japo kinafki
 
hiyo inaitwa CHEZA kwa step CHEZA kwa step usimkanyage mwenziooooo
 
Ni kweli itakuwa simba ameshiba au uzee unamfanya asiwe na nguvu ya kupambana nae peke ake
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…