Kuna tetesi kuwa Mhe. Kagasheki hivi majuzi akiwa safarini toka jimboni kwake kwa ajiri ya uchaguzi aligonga na kuua mtu maeneo ya Nzeha. Watoa habari wanasema pia kuwa tayari I.G.P Mwema ameishaunda tume. Tunaomba wanahabari mfuatilie

afadhali umeliona hilo. naona utu unatutupaa mkono kwa kasi kubwa.
kama taarifa hii ni kweli, mola awafariji wafiwa na wote waliohusika na tukio zima.
naamini aliyekuwa akiendesha hilo gari pamoja na abiria wengine watakuwa wamehuzunishwa
na tukio zima.
rip marehemu
Kuna tetesi kuwa Mhe. Kagasheki hivi majuzi akiwa safarini toka jimboni kwake kwa ajiri ya uchaguzi aligonga na kuua mtu maeneo ya Nzeha. Watoa habari wanasema pia kuwa tayari I.G.P Mwema ameishaunda tume. Tunaomba wanahabari mfuatilie
ni bahati mbaya kwake kuua na hatujui chanzo cha ajali kwahiyo naona habari hii imekaa kiudanu zaidi na mtoa mada anasahau kwamba hata yeye akiwa anaendesha aweza hata kuua au kufa, kwani haya mvyuma si perfect
eniwei, what goes around comes around, tutasikia mengi