Marumeso
JF-Expert Member
- Oct 3, 2009
- 1,410
- 1,322
Wakuu siku hizi kama mjuavyo yoyote anaeza kumtongoza mwenzake yani mwanamke anaweza pia kumtongoza mume.
Sasa we tumetongozana huko, tumekubaliana vizuri tukapumzike mahala flani ( na pengine msichana ndo kapendekeza hiyo gest au hotel), mnaingia hotel/guest eti msichana anatia mgomo eti "mi bado mdogo sitaki mambo hayo" au "nimechoka nataka kurudi nyumbani".
Hivi huwa mnakua siriaz au mnatikisa kiberiti tu halafu muone mrejesho?