Mmesoma nini? Kuna kasoro hapa

Malaria 2

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2023
Posts
8,598
Reaction score
12,910
Kuna wauminj humu wanajisifu kwamba ndio wasomi na wanawakebehi wengine hawakusoma shule, wamewekeza kwengine. Cha ajabu hao hao kila kukicha humu wanalalamika.
1. Kila siku tunalalamika haki za binaadam
2. Umaskini
3. Rushwa
4. Bara bara mbovu
5. Haki na usawa haupo
Haya yote yanasababishwa na wasomi. Na nyinyi ndio wasomi na watendaji wenyew.
Sasa kimesomwa nini?
 
Twende kisutu mkuu-- noreforms
 
"Bara bara" ndio kasoro katika Uzi wako, hamna nafasi hapo katikati
 
utasoma wapi sasa pengine?🤣
Mwisho unasema nchi yetu maskini, rushwa, haki za binaadam. Ukiuliza yatafanywa na robot au yatafanywa na msomi, unaambulia matusi
 
Halafu pengine umetokea st na div 1 form 6. Uzi mzima hoja yako spelling errors tu ndio ulioona
Sisi wa Mtwara mjini tunaandika, Mmesoma; kuandika Mumesoma hili ni tatizo pia, ila nilipojua upo Masasi nikakausha tatizo la urithi wa lugha na mazoea ya matamshi....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…