Mmemwona Pinda?

Mmemwona Pinda?

Mwana Kwetu

JF-Expert Member
Joined
Jul 12, 2011
Posts
652
Reaction score
607
Mzee wa kibaoni ameendelea kupima kina cha maji ya urais kuanzia nyumbani kwao. Siku zote mcheza kwao hutuzwa kwa hiyo umati anaouona sio realistic kwani ndugu zake wanamwonea huruma. Hili zoezi la kujipima akalifanye Arusha mjini, Karatu, Mwanza Mjini na Mbeya mjini na akiona bado umati ni kama ule wa Katavi basi asonge mbele. Hii naiona kama mtu anayejifunza kuogelea kwenye karai ili akaogelee bahari ya kina kirefu hapa; matokeo yake ni obvious.

Labda iwe amedokezwa ila naona giza kupitia pinda!!!!
 
Hata huo umati kama uliuangalia kwa makini ungegundua ulikuwa unamshangaa alipokuwa anawaambia watajadili muungano baada ya kupitisha andishi la 6 na fisadi chenge.
 
Huo muda labda angetumia kurina na kupack asali ungemlipa zaidi. Jana alishindwa kueleza kwa nini huwa analia lia!!!
 
pumba, unafikiri hii ndio tz Arusha mjini, Karatu, Mwanza Mjini na Mbeya mjini, kumbuka umati wa watu si uwingi wa wapiga kura
 
Andikeni waziri mkuu wa Tanganyika,kwani Zanzibar hawana Waziri mkuu,uwaziri mkuu unaishia pale baharini katika ukianza kuiona Unguja Kusini na kutoiona Wazo Hill au Bwagamoyo ukiwa kwenye Sea Express au Kilimanjaro II
 
Back
Top Bottom