Mmea wenye hisia, Ukiguswa husinyaa

Mmea wenye hisia, Ukiguswa husinyaa

Mwamba028

JF-Expert Member
Joined
Nov 15, 2013
Posts
4,648
Reaction score
3,807
Mwenye kujua jina la huu mmea na sababu ya wenyewe kufanya hivyo anijuze wakuu
 
Mshana Jr njoo huku utuambie faida ya huu mmea
 
Sensitive Plant. Kuna sehemu wanauita "Mfwakilo"!
Mungu ni wa ajabu!
 
Mwenye kujua jina la huu mmea na sababu ya wenyewe kufanya hivyo anijuze wakuu

Niliwahi kuustawisha kwenye nyumba moja ya kupanga mwaka 1999/2000. Niliupenda sana, bahati mbaya ikawa shida kuhama hama nao.

Kama unaweza nisaidia jinsi ya kuupata, nadhani unao!
 
Kuna sehemu nliwahi kuukuta maeneo ya K'nyama Dsm
 
Mimosa pudica.
Pia unaweza kuuta Shametree.

Kujikunja huko ni kwa ajili ya kujilinda na maadui au mazingira yasiyo rafiki.
Ni mti wenye mfumo wa hisia(fahamu) unaofanya kazi kwa kiwango cha juu
 
Kwanini una hisia? Ni maajabu
 
Back
Top Bottom