comrade igwe
JF-Expert Member
- Jan 12, 2015
- 7,295
- 3,952
Umeua wangapi? Mlianzishe hofu (panic) zisizo na sababuMmea mmoja unaohatarisha maisha wa wakazi wa mji wa Arusha nchini Tanzania umeripotiwa kumea kando kando ya barabara,mashambani na kadhalika .
Aina mpya ya mmea usiojulikana unasemekana kumea na kuenea unaosababisha maradhi hasa ya saratani kwa mtu yeyote anayegusa.
Wanasayansi wa Taasisi ya Utafiti ya (TPRI),Taasisi ya Utafiti wa Wanyamapori (TAWIRI) na taasisi ya elimu kuhusu njaa ECHO wanafanya utafiti wa pamoja kuhusu mmea huo wa kiajabu kwa jina la 'Parthenium'.
Taarifa zaidi zafahamisha kuwa mtu anapogusa mmea huo huanza kuwa na vipele mwilini.
Aidha utafiti zaidi umeonyesha kuwa mtu anapopumua na kupata harufu ya mmea huo husababisha matatizo ya kupumua na kudaiwa kuharibu mapafu na kusababisha saratani mwishowe kusababisha kifo.
Kwa sasa mmea huo unamea Arusha ingawaje wanasayansi wanasema kuwa pia unaweza kumea maeneo ya Nyanda za juu za Kusini, maeneo karibu na mlima Kilimanjaro na pia mikoa ya Pwani.
Chanzo: trtswahili
Hahaha unataka vijana wa Mzizima waje na magari ya kubebea magazeti kesho wewe au mafuso kama ile safari ya Loliondo.mbona nasikia unaongeza nguvu za kiume
Daaa umenikumbusha mbali sana kipindi nikiwa bush tulikuwa tukienda kata majani mashambani kuna jani nilikuwa nikukutana nalo na ile harufu ikiniingia tu nitaumwa na kichwa na kizungu zungu lile jani nauhakika ni sumu tosha hata kwa wanyama na ng'ombe haligusi.Mmea mmoja unaohatarisha maisha wa wakazi wa mji wa Arusha nchini Tanzania umeripotiwa kumea kando kando ya barabara,mashambani na kadhalika .
Aina mpya ya mmea usiojulikana unasemekana kumea na kuenea unaosababisha maradhi hasa ya saratani kwa mtu yeyote anayegusa.
Wanasayansi wa Taasisi ya Utafiti ya (TPRI),Taasisi ya Utafiti wa Wanyamapori (TAWIRI) na taasisi ya elimu kuhusu njaa ECHO wanafanya utafiti wa pamoja kuhusu mmea huo wa kiajabu kwa jina la 'Parthenium'.
Taarifa zaidi zafahamisha kuwa mtu anapogusa mmea huo huanza kuwa na vipele mwilini.
Aidha utafiti zaidi umeonyesha kuwa mtu anapopumua na kupata harufu ya mmea huo husababisha matatizo ya kupumua na kudaiwa kuharibu mapafu na kusababisha saratani mwishowe kusababisha kifo.
Kwa sasa mmea huo unamea Arusha ingawaje wanasayansi wanasema kuwa pia unaweza kumea maeneo ya Nyanda za juu za Kusini, maeneo karibu na mlima Kilimanjaro na pia mikoa ya Pwani.
Chanzo: trtswahili
Mbona huyo jamaa anashika tu wala haogopi...habari ya kizushi hii...pia haina chanzoMmea mmoja unaohatarisha maisha wa wakazi wa mji wa Arusha nchini Tanzania umeripotiwa kumea kando kando ya barabara,mashambani na kadhalika .