Mmea hatari wazua hofu jijini Arusha

Mmea hatari wazua hofu jijini Arusha

comrade igwe

JF-Expert Member
Joined
Jan 12, 2015
Posts
7,295
Reaction score
3,951
Mmea mmoja unaohatarisha maisha wa wakazi wa mji wa Arusha nchini Tanzania umeripotiwa kumea kando kando ya barabara,mashambani na kadhalika .

582ae75f81ff0.jpg

Aina mpya ya mmea usiojulikana unasemekana kumea na kuenea unaosababisha maradhi hasa ya saratani kwa mtu yeyote anayegusa.

Wanasayansi wa Taasisi ya Utafiti ya (TPRI),Taasisi ya Utafiti wa Wanyamapori (TAWIRI) na taasisi ya elimu kuhusu njaa ECHO wanafanya utafiti wa pamoja kuhusu mmea huo wa kiajabu kwa jina la 'Parthenium'.

Taarifa zaidi zafahamisha kuwa mtu anapogusa mmea huo huanza kuwa na vipele mwilini.

Aidha utafiti zaidi umeonyesha kuwa mtu anapopumua na kupata harufu ya mmea huo husababisha matatizo ya kupumua na kudaiwa kuharibu mapafu na kusababisha saratani mwishowe kusababisha kifo.

Kwa sasa mmea huo unamea Arusha ingawaje wanasayansi wanasema kuwa pia unaweza kumea maeneo ya Nyanda za juu za Kusini, maeneo karibu na mlima Kilimanjaro na pia mikoa ya Pwani.

Chanzo: trtswahili
 
Daah hawa wa nje wanaokuja kwetu nao na mengi sana haya napita narudi baadae
 
Mmh wamaanisha hao wapita njia wote washapata malazi n huyo ktk picha?!

Ngoja waje wenyewe
 
Mmea mmoja unaohatarisha maisha wa wakazi wa mji wa Arusha nchini Tanzania umeripotiwa kumea kando kando ya barabara,mashambani na kadhalika .

582ae75f81ff0.jpg

Aina mpya ya mmea usiojulikana unasemekana kumea na kuenea unaosababisha maradhi hasa ya saratani kwa mtu yeyote anayegusa.

Wanasayansi wa Taasisi ya Utafiti ya (TPRI),Taasisi ya Utafiti wa Wanyamapori (TAWIRI) na taasisi ya elimu kuhusu njaa ECHO wanafanya utafiti wa pamoja kuhusu mmea huo wa kiajabu kwa jina la 'Parthenium'.

Taarifa zaidi zafahamisha kuwa mtu anapogusa mmea huo huanza kuwa na vipele mwilini.

Aidha utafiti zaidi umeonyesha kuwa mtu anapopumua na kupata harufu ya mmea huo husababisha matatizo ya kupumua na kudaiwa kuharibu mapafu na kusababisha saratani mwishowe kusababisha kifo.

Kwa sasa mmea huo unamea Arusha ingawaje wanasayansi wanasema kuwa pia unaweza kumea maeneo ya Nyanda za juu za Kusini, maeneo karibu na mlima Kilimanjaro na pia mikoa ya Pwani.

Chanzo: trtswahili
Umeua wangapi? Mlianzishe hofu (panic) zisizo na sababu
 
mmetoka kwenye mabilioni mmekuja na saratani ukiugusa tu jwa hiyo huyo aliushika nae atapata saratani???
 
Wakojoaji wa pembeni ya barabara jihadharini. Ukiokojolea mmea huu utapata tezi dume, busha na ukosefu wa nguvu za kiume.
ACHA MARA MOJA TABIA YA KUKOJOAKOJOA PEMBENI
 
Huyo mtafiti kwenye picha mbona anaugusa huo mmea,ina maana havuti hewa ya hiyo mmea

Au yy ni invisible ,kudanganyana tu
 
Mmea mmoja unaohatarisha maisha wa wakazi wa mji wa Arusha nchini Tanzania umeripotiwa kumea kando kando ya barabara,mashambani na kadhalika .

582ae75f81ff0.jpg

Aina mpya ya mmea usiojulikana unasemekana kumea na kuenea unaosababisha maradhi hasa ya saratani kwa mtu yeyote anayegusa.

Wanasayansi wa Taasisi ya Utafiti ya (TPRI),Taasisi ya Utafiti wa Wanyamapori (TAWIRI) na taasisi ya elimu kuhusu njaa ECHO wanafanya utafiti wa pamoja kuhusu mmea huo wa kiajabu kwa jina la 'Parthenium'.

Taarifa zaidi zafahamisha kuwa mtu anapogusa mmea huo huanza kuwa na vipele mwilini.

Aidha utafiti zaidi umeonyesha kuwa mtu anapopumua na kupata harufu ya mmea huo husababisha matatizo ya kupumua na kudaiwa kuharibu mapafu na kusababisha saratani mwishowe kusababisha kifo.

Kwa sasa mmea huo unamea Arusha ingawaje wanasayansi wanasema kuwa pia unaweza kumea maeneo ya Nyanda za juu za Kusini, maeneo karibu na mlima Kilimanjaro na pia mikoa ya Pwani.

Chanzo: trtswahili
Daaa umenikumbusha mbali sana kipindi nikiwa bush tulikuwa tukienda kata majani mashambani kuna jani nilikuwa nikukutana nalo na ile harufu ikiniingia tu nitaumwa na kichwa na kizungu zungu lile jani nauhakika ni sumu tosha hata kwa wanyama na ng'ombe haligusi.
 
Mmea mmoja unaohatarisha maisha wa wakazi wa mji wa Arusha nchini Tanzania umeripotiwa kumea kando kando ya barabara,mashambani na kadhalika .

582ae75f81ff0.jpg

Aina mpya ya mmea usiojulikana unasemekana kumea na kuenea unaosababisha maradhi hasa ya saratani kwa mtu yeyote anayegusa.

Wanasayansi wa Taasisi ya Utafiti ya (TPRI),Taasisi ya Utafiti wa Wanyamapori (TAWIRI) na taasisi ya elimu kuhusu njaa ECHO wanafanya utafiti wa pamoja kuhusu mmea huo wa kiajabu kwa jina la 'Parthenium'.

Taarifa zaidi zafahamisha kuwa mtu anapogusa mmea huo huanza kuwa na vipele mwilini.

Aidha utafiti zaidi umeonyesha kuwa mtu anapopumua na kupata harufu ya mmea huo husababisha matatizo ya kupumua na kudaiwa kuharibu mapafu na kusababisha saratani mwishowe kusababisha kifo.

Kwa sasa mmea huo unamea Arusha ingawaje wanasayansi wanasema kuwa pia unaweza kumea maeneo ya Nyanda za juu za Kusini, maeneo karibu na mlima Kilimanjaro na pia mikoa ya Pwani.

Chanzo: trtswahili
Mbona huyo jamaa anashika tu wala haogopi...habari ya kizushi hii...pia haina chanzo
 
Back
Top Bottom