Mme wa Zamaradi vs mteule wa Jiwe

Nebuchadinezzer

JF-Expert Member
Oct 1, 2018
1,403
2,545
Binafsi, hainiingii akilini kuitwa polisi kwa mme wa Zamaradi baada ya kumtishia bastola dereva wa Lori.

Iweje wamuite kituoni na wakati kuna yule mteuliwa wa Magu aliyeua muumini kanisani kule singida. Siku ya ibada Jumamosi na mpaka Leo hajafungwa?

Hii serikali haitendi haki hata kidogo.
Eti limkurugenzi linaenda nyumba ya ibada, linaua hakafu linaachwa, naskini , raia anatishia raia mwenzake silaha anaitwa ofsini. Tena hadi IGP anaongea.

This is unfair.
Mtalipa haya mnayoyafanya. Siku zaja....Kwa hili siungi mkono. Kama sheria ni msumeno basi ukate potepote.
 
Punguza chuki na jazba uwasilishe hoja yako kama GT.
Ulichotaka huyo mme wa Zamarad asiwajibishwe?
Una hakika huyo Mteule aliua?kama una ushahidi nenda kawasaidie Polisi, infact walioua ni maaskari walioambatana na Mkurugenzi, usilazimishe visivyokuwepo kwa maono yako.
Pili kosa moja haliwezi kuhalalisha kosa lingine, mme wa Zamaradi kakosea sharti aonywe ili iwe fundisho kwa wamiliki wa Silaha wote.
 
Kwa hiyo kwa akili zako fupi, rais akishitakiwa kwa mauaji, lazima awe amrua kwa mikono yake?

Acha upopoma!
 
ulikuwepo au ni kiherehere kinakusumbua?/
Hayo hayakuhusu?

Mzazi wa marehemu na waumini ndivyo walivyosema. Na MTU alipigwa lisasi kweli. Sasa ww unataka ushahidi gani?

Kwa taarifa yako, askari hawezi kuua bila kupewa amri na kiongozi wake. Ndivyo askari hufundishwa...kutii amri za wakuu

Tumia akili, acha kunywa gongo.
 
Hivi ni amri halali au amri yoyote?
 
Two wrongs doesnt make right.
Sasa kwakuwa yule mteule aliua basi na wengine waue ili haki itendeke si ndiyo
 
Huyo jamaa atatoka soon ni ndugu yake PM ana gereji yake town haapa jina limenitoka kidogo
 
Samahani ndg kwa maneno haya ,utaonekana hauko sawa kiakili yaani unataka kuleta ushabiki kwenye jinai yaani unaona jamaa kumtisha kwa siraha ya moto ni jambo dogo? Huyo jamaa kama Angeletwa mbele yangu niweHakim wake chap chap angelamba miaka ili kuondoka ushamba wake na wengine wenye tabia kama zake,
 
Back
Top Bottom